Tunaoanza NoFAP challenge leo tukutane hapa

Tunaoanza NoFAP challenge leo tukutane hapa

So how do u feel???
Kwa siku hizi 142 naona Uchangamfu na nguvu ya mwili imeongezeka, uwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu tofauti na mwanzo, siwi mchovu , napenda mazoezi, hali ya kujiamini imeongezeka, uwezo wa kudhibiti matamanio umeongezeka
 
Kuna baadhi ya vitu havitakiwi kufanywa na mwanaume rijali..... mwanaume unawatangazia watu kuanzia leo "sifanyi mapenzi" unataka hawa wakina dada wagongwe na nani??
 
Nimefikisha siku 150 sawa na miezi mi 5 bila mchezo mchafu
Screenshot_20250728_171810_I Am Sober.jpg
 
Sijajua Kama wewe ni muha, ila kwa mtazamo wangu una ka asili ka kubishana mkuu.

semen retention Ina faida kubwa sana, kuanzia kuboresha afya ya Mwili, akili na roho yako.

Kukuepusha na magonjwa ya kimwili Kama gono, hiv, kuupa pumziko mwili ili ufanye recover.

ngono si kimwili bali na kiroho pia, so kuto kuunganisha mwili hovyo hovyo ni zawadi tosha Sana.
Facts,
 
Back
Top Bottom