Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,752
- 3,148
- Thread starter
- #101
Kwamba tayar ushaharibu?Wakuu ngoma ngumu Ngoma nagwa
Kwamba tayar ushaharibu?Wakuu ngoma ngumu Ngoma nagwa
Naanz 1 kesho mkuuKwamba tayar ushaharibu?
Nijibu swali langu kwanza, ushaharibu?Naanz 1 kesho mkuu
Ndiyo mkuu, kwamba unataka weekend iwe maalum kwa ajili ya kujipongeza kwa kufanikisha zoezi siku 5 za wiki?Hadi siku za weekend tunazihesabu
Weekend kipengele mkuuAa
Nijibu swali langu kwanza, ushaharibu?
Weekend kipengele mkuu
Watu tunapiga nyeto kwa steelwireSabuni zimepandishwa bei?
Enzi zangu nilianza na super glue, siifahamu kabisa sabuniWatu tunapiga nyeto kwa steelwire
Huku kwetu mvua inanyesha weekend tuu huoni kama ni balaa hilo😆😆N
Ndiyo mkuu, kwamba unataka weekend iwe maalum kwa ajili ya kujipongeza kwa kufanikisha zoezi siku 5 za wiki?
Kaza roho mkuu, anza kwa kununua blanket Zito special kwa weekend tuHuku kwetu mvua inanyesha weekend tuu huoni kama ni balaa hilo😆😆
🤣🤣🤣changamoto ni picha za uchi mitandaoniTunalisongesha wakuu, tukaze inawezekana kabisa
Smooth CriminalRasmi leo naanza hii challenge, dua zenu wakuu. Wanaotaka kwenda pamoja nami tuungane hapa
No sex,
No masturbation,
No porn.
Here we go.
Picha haihusiani na uzi
Mimi nimefanikiwa kwa miezi 4 sasa,Safi mkuu assessment ya kwanza iwe baada ya 3 months na target iwe ni 1 year hapo utakuwa umefanikiwa kinyama