Tunaoanza NoFAP challenge leo tukutane hapa

Tunaoanza NoFAP challenge leo tukutane hapa

Nilianza kufanya hi challenge ni miaka sasa imepita and I didn't know if I'm in semen retention challenge


Uzoefu wangu katika hili nimegundua kwamba " mbegu za kiume (sperms) usipozitoa hazitoki kamwe"


Ulimwengu hu ni kiumbe hai that why moja ya sehemu ya ulimwengu huu kuna viumbe hai (i.e Earth) na hakika unahusiana na viumbe hai walio katika dunia kwa namna ambayo ni ya Siri Sana.


Ulimwengu unakutambua kwa jinsi unavyojitambua i.e ulimwengu unakutambua wewe na Mimi jinsi tulivyo ndani yetu hivyo hatuwezi kuudanganya ulimwengu kamwe na unarespond/unatupatia/unatuludishia tulichonacho ndani yetu..... Unaweza kuidanganya dunia lakini ulimwengu haiwezekani kuudanganya B'se "Dunia inakutambua kwa jinsi unavyojitambulisha"



Kuna waswahili husema 👉 "MUNGU anakupa unachostahili na sio unachotaka "


Unachostahili means👉 ulivyo ndivyo utakavyokuwa
👉 ulichonacho ndani yako Ndicho kitakusogelea na kuwa wewe
👉Unachopanda ndicho utakachovuna



Hakika usipokuwa na mawazo ya ngono/mapenzi kitu kinaitwa sperms hakitotoka nje kwasababu mawazo yanatembea na ndiyo yanayotutembeza na kutupeleka kufanya jambo au kitu fulani kiwe cha heri au ubaya


Kitu kingine wasichana wanatakufuata sana B'se women are very sensitive to energy 👉 sperms is the energy, sperms is the power of attraction to All things in This universe.... Lakini wakija watakukuta upo imara wala hawatopata tention yako katika kila nyanja B'se wanakuta tamaa ya mapenzi imelala usingizi wa pono 😁
Hii nimeicopy na kuipaste kwenye diary yangu, una madini sana mkuu mpaka natamani uendelee kutoa somo
 
Screenshot_20250630-234251.png
 
Nimefikisha Siku ya 142 = Miezi 4 na siku 22 bila kujigusa wala kuangalia picha chafu.
Mapambano yanaendelea.
Screenshot_20250720_233250_I Am Sober.jpg
 
Acha tu mkuu, nitarudi nikiwa imara zaidi msimu ujao
Mbona kinyonge.. just live your life brother ukiona una struggle basi ujue huyo sio wewe life is supposed to be smooth una swing na upepo unavyoenda unakuwa flexible
 
Back
Top Bottom