immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,584
kwani mkuu huna manzi yakukunyegesha ?Nimefikisha siku 119 bila mchezo mchafu wala kuangalia picha chafu sawa na miezi mi 3 na siku 30 imebaki siku 1 nitimize miezi minne, ila safari haikua rahisi.
View attachment 3385559