Rasmi leo naanza hii challenge, dua zenu wakuu. Wanaotaka kwenda pamoja nami tuungane hapa
No sex,
No masturbation,
No porn.
Here we go.
Picha haihusiani na uzi
Nilianza kufanya hi challenge ni miaka sasa imepita and I didn't know if I'm in semen retention challenge
Uzoefu wangu katika hili nimegundua kwamba " mbegu za kiume (sperms) usipozitoa hazitoki kamwe"
Ulimwengu hu ni kiumbe hai that why moja ya sehemu ya ulimwengu huu kuna viumbe hai (i.e Earth) na hakika unahusiana na viumbe hai walio katika dunia kwa namna ambayo ni ya Siri Sana.
Ulimwengu unakutambua kwa jinsi unavyojitambua i.e ulimwengu unakutambua wewe na Mimi jinsi tulivyo ndani yetu hivyo hatuwezi kuudanganya ulimwengu kamwe na unarespond/unatupatia/unatuludishia tulichonacho ndani yetu..... Unaweza kuidanganya dunia lakini ulimwengu haiwezekani kuudanganya B'se "Dunia inakutambua kwa jinsi unavyojitambulisha"
Kuna waswahili husema ๐ "MUNGU anakupa unachostahili na sio unachotaka "
Unachostahili means๐ ulivyo ndivyo utakavyokuwa
๐ ulichonacho ndani yako Ndicho kitakusogelea na kuwa wewe
๐Unachopanda ndicho utakachovuna
Hakika usipokuwa na mawazo ya ngono/mapenzi kitu kinaitwa sperms hakitotoka nje kwasababu mawazo yanatembea na ndiyo yanayotutembeza na kutupeleka kufanya jambo au kitu fulani kiwe cha heri au ubaya
Kitu kingine wasichana wanatakufuata sana B'se women are very sensitive to energy ๐ sperms is the energy, sperms is the power of attraction to All things in This universe.... Lakini wakija watakukuta upo imara wala hawatopata tention yako katika kila nyanja B'se wanakuta tamaa ya mapenzi imelala usingizi wa pono ๐