Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,377
- 2,368
- Thread starter
- #81
Never back down mkuuNi Bora ungeanza kimyakimya
Hivyo ulivyotutangazia ni umeharibu kabisa tunakupa wiki mbili utarudi chaputa😃
Never back down mkuuNi Bora ungeanza kimyakimya
Hivyo ulivyotutangazia ni umeharibu kabisa tunakupa wiki mbili utarudi chaputa😃
Naomba kujua hii challenge huwa ni kwa muda gan?Day3 imekuwa kivumbi na jasho
lakini tutashinda tuu💪🏿
Unaweza kwenda mwezi au miezi ni vile tuu umejipanga vipiNaomba kujua hii challenge huwa ni kwa muda gan?
Ooh okay sawa, sasa hii challenge ni special kwa wanaume tu?Unaweza kwenda mwezi au miezi ni vile tuu umejipanga vipi
Hapana nahisi hata wanawake inawahusu piaOoh okay sawa, sasa hii challenge ni special kwa wanaume tu?
Akili ikiwekwa mbali na ngono inakua inawaza madini sana.....Hapana nahisi hata wanawake inawahusu pia
Sema ndio vile hizi mambo inaonekana wahanga wengi ni wanaume
Hakika mkuuAkili ikiwekwa mbali na ngono inakua inawaza madini sana.....
Hamu zikija tu kwisha.
Upo wapi kwani,!?Naomba kujua hii challenge huwa ni kwa muda gan?
Acha kufuga nyegeRasmi leo naanza hii challenge, dua zenu wakuu. Wanaotaka kwenda pamoja nami tuungane hapa
No sex,
No masturbation,
No porn.
Here we go.
Picha haihusiani na uzi
Hahahah acha kuendekeza kila nyege utoeAcha kufuga nyege
Elezea zaidi, inakuwaje hiyoKuna prostate cancer...
Day 4Bado tupo pamoja
Vibaya mnoInaonekana wewe ni mfuasi wa Michael Jackson