The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,139
- 13,827
Wee nawe siuende huko kwenu Lindi.Unaemnyoosha ni nani xaxa? Mkinga au Muha?
Sisi tuache bhana tunaenda home.
We are the best kubali ukatae hatukushikii fimbo.
Wee nawe siuende huko kwenu Lindi.Unaemnyoosha ni nani xaxa? Mkinga au Muha?
Ha ha ha hapo tu ndiyo inanipa uchungu nitafute pesa kwa nguvuUkienda Moshi krismasi uwe na hela!! Maana. Hawana adabu wale! Utakuta una Umri wa miaka 48 na uko broke,(huna kitu)halafu umechanganyika na vitoto vya miaka 17-25 na vina hela nzuri! Basi vinakugeuza kuwa mesenja wao!!! Utaskia "aisee broo hebu tafuta geleni basi uende hapo kilabuni ukalete mbege tunywe tunywe hapa!!" na unaweza ukatumwa hadi mara kumi kwenye kikao kimoja!! Oote mbe! Mwingine anakuuliza "pole broo ulikuwa jela?" Hatari sana
Ukifungu huku tunafungua huku ikibidi tutatoboa hata tundu tuchomokeNyie wachaga mnazidi kufanya yule jamaa wa jumba jeupe achukie zaidi maana kwa imani yake alijua kabana kisawasawa kumbe wapi.
Wewe umeshafika tayari? Nataka nikuagize ukalete mbege ya kibosho tumix na hii ya machame! Maana hii haina stimu kabisa!Ha ha ha hapo tu ndiyo inanipa uchungu nitafute pesa kwa nguvu
Wewe umeshafika tayari? Nataka nikuagize ukalete mbege ya kibosho tumix na hii ya machame! Maana hii haina stimu kabisa!
upo au umeshaondoka?Ha ha ha hapo tu ndiyo inanipa uchungu nitafute pesa kwa nguvu
MBITIYAZA twende zetu basi aiseeView attachment 450184 Kama hio hapo??
Utaacha watu wazuiwe kwenda kwao ujue.....na ile bara bara ya Msata ilivyojengwa chini ya kiwango hahhaahahahaaWachaga oyeeeeee
Wengine hawaendi hata kukiwa na misiba, refer Dr Shika story yake hahahahhahaaSafi sana. Huwa inapendeza sana watu kukutana nyumbani kila mwaka. Kuna wengine huwa wanakwenda kwao kunapokuwa na msiba tu. Na kama wakizika Dar ndio hawaendi tena hata miaka 10 Ingefaa makabila yote yakaiga utamaduni huu kwani unachochea maendeleo sehemu zetu za asili
Utaacha watu wazuiwe kwenda kwao ujue.....na ile bara bara ya Msata ilivyojengwa chini ya kiwango hahhaahahahaa
View attachment 450184 Kama hio hapo??
hahahahaaa Home Sweet home, for the first time tangu nizaliwe naenda home ila Mama yangu na Baba yangu hawapo, so painful aaaaaghhh asikwambie mtu, i cant imagine nyumbani patakavyokua panaboaAsee hiyoo mbege mpaka udenda umetoka. Naona Dada kakamatia albumu anaitafakari namna atakavyoinyonya kwa hisia.
hahahahaaa Home Sweet home, for the first time tangu nizaliwe naenda home ila Mama yangu na Baba yangu hawapo, so painful aaaaaghhh asikwambie mtu, i cant imagine nyumbani patakavyokua panaboa
Amen Amen MpwaHuwezi kosa kampani wapambe wapo wengi plus ndugu Hutojuta.
Uko wapi nikupitie twende wote??Aisee! Ninavyopenda safari!!!
Hapo panaitwa cath hotel, ipo korogwe. Pazuri sana.Hii picha ya mwisho ni wapi mkuu? Maana siyo pageni sana
Hapo panaitwa cath hotel, ipo korogwe. Pazuri sana.