Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

Ukienda Moshi krismasi uwe na hela!! Maana. Hawana adabu wale! Utakuta una Umri wa miaka 48 na uko broke,(huna kitu)halafu umechanganyika na vitoto vya miaka 17-25 na vina hela nzuri! Basi vinakugeuza kuwa mesenja wao!!! Utaskia "aisee broo hebu tafuta geleni basi uende hapo kilabuni ukalete mbege tunywe tunywe hapa!!" na unaweza ukatumwa hadi mara kumi kwenye kikao kimoja!! Oote mbe! Mwingine anakuuliza "pole broo ulikuwa jela?" Hatari sana
 
Kweli ndo maana wanatamani kuwa wachaga hahaha aisee
Mimi nimepiliza niko uku ila mwaka mpya lazima niwe kibosho nikaangushe mbuzi ka 6 ivi
32d1ece1602498a9daed72cd39e682b0.jpg
4557c1a0a79afaecc446fe21b286d177.jpg
 
Yapo makabila mengi tu yamebarikiwa lakini hayana huo utamaduni na mila zenu za kurudi nyumbani mwisho wa mwaka.

Wao huamua kufanya tofauti kama kuja hapa visiwa vya hawaii kula bata.
Mfano halisi embu tutajie angalao moja.
 
Wanatujua tuu hamna namna waambie watafute taarifa ya mamlaka ya usafirishaji wameona wafanaje. HADI EICHER zinaenda moshi-arusha hata coaster za mbezi mlandizi zile zilizo vizuri na morogoro pia[emoji12] [emoji12] [emoji23]
 
Ukienda Moshi krismasi uwe na hela!! Maana. Hawana adabu wale! Utakuta una Umri wa miaka 48 na uko broke,(huna kitu)halafu umechanganyika na vitoto vya miaka 17-25 na vina hela nzuri! Basi vinakugeuza kuwa mesenja wao!!! Utaskia "aisee broo hebu tafuta geleni basi uende hapo kilabuni ukalete mbege tunywe tunywe hapa!!" na unaweza ukatumwa hadi mara kumi kwenye kikao kimoja!! Oote mbe! Mwingine anakuuliza "pole broo ulikuwa jela?" Hatari sana
Umeuaaaaaa........
 
Back
Top Bottom