Ktk hilo unadhani kuna atakayewabedha? Ni jambo jema sana kukutana wandugu pamoja.Yaani raha yenyewe ndiyo hii. ..shughuli hapa na pale. ..wakati wa kujitayarisha. .mnatayarisha gari fresh hivi au unakodi. .mkifika kuna ndugu kutoka sehemu mbali mbali nchini na nje ya nchi. ..marafiki wa Enzi za mababu. ..yaani ni furaha tele kwa ujumla. ..na raha yenyewe ndiyo iko hapo! It's amazing grace and I am happy to be part of it!
Thanks a bunch brother. ..Ktk hilo unadhani kuna atakayewabedha? Ni jambo jema sana kukutana wandugu pamoja.
Kwa kuongezea tu na mtu ambaye anaruhusiwa kukununua hiyo ardhi awe ni ndugu au ni jarani wa maeneo hayo kinyume na hapo ni kama kukutana na chui beachNan kakwambia unaweza jichanganya katikati uko uchagan hawauzi ardh na hata ukiuziwa bei mbaya na lazima ukoo ukae ujadiri na wajiridhishe kwenye ukoo hakuna wakununua ndio anatafutwa mtu sasa hapo ni ngumu wewe kununu ardhi migomban ndio mana ni ngumu kukuta kabila lingine mgomban labda kama nimfanyakazi
[emoji87] [emoji86] una hamu ya kulogwa wewe.Hata Kilimanjaro haitutoshi tupo Nairobi wengine.
UBARIKIWEJapokuwa mimi siyo Mchaga lakini nimeipenda sana hii. Hiyo picha ya chini nahisi ni pale Kilimanjaro Motel iko Korogwe kama sikosei.
Hakuna cha kushindana ni kuombeana na baraka tele ndugu yangu. ....hata wewe pia merry Christmas and Happy new year. ...iyeeeeShindaneni na magufuli.mkirudi muanze kuunga unga.
Yeye ndio anashindana na Sisi, sisi hatuna mashindano na mtuShindaneni na magufuli.mkirudi muanze kuunga unga.
Nyie jengeni uwanja wa Ndege ChatoJamani sasa yeye afanyeje???
Aendelee na chuki zake, chuki zake ndio Baraka zetuNyie wachaga mnazidi kufanya yule jamaa wa jumba jeupe achukie zaidi maana kwa imani yake alijua kabana kisawasawa kumbe wapi.
Chuki tu, unawezaje ku-overtake kwenye corner????Foleni ni ya udereva mbovu wa hivyo vipaso vyenu,munashidwa ku -overtake lorry
inapendeza sana. wimbo huu uwaburudisheni.