Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

Mpwa nipo nafanya marekebisho madogo madogo ikikaa uzuri leo usiku au kesho asubuhi Mkuu wangu, Dar pamenichosha Kaka, hadi January 2018 Mungu akipenda
Mimi nikimalizana na mkoloni wangu nanyanyua leo
 
Mpwa nipo nafanya marekebisho madogo madogo ikikaa uzuri leo usiku au kesho asubuhi Mkuu wangu, Dar pamenichosha Kaka, hadi January 2018 Mungu akipenda
Mimi nikimalizana na mkoloni wangu nanyanyua leo
 
Pole sana Mkuu safari njema heri na baraka ya Christmas na mwaka mpya.

hahahahaaa Home Sweet home, for the first time tangu nizaliwe naenda home ila Mama yangu na Baba yangu hawapo, so painful aaaaaghhh asikwambie mtu, i cant imagine nyumbani patakavyokua panaboa
 
Back
Top Bottom