peke peke
Member
- Jan 4, 2014
- 63
- 22
Hii picha sio arusha na ka unabisha sema arusha sehemu ganiKuna mtu kanitumia hiyo..... wakitokea RChuga. Kuna kajam flan hv amazing afu kanaongezeka kadri mda uendavyo
View attachment 449915
Mwenyewe umeshaweka uwezekano wa kuipata lakini, na hali hyo haiko klm tu, iko hata tukuyu na Mgeta kwa walugulu kuko hivyo tena hata kimaendeleo tofauti si kubwa, na hili ni population kuwa kubwa na ndo sababu kuu kwann watu watokao huko kuuimarisha utengemano tulonao baina yetu, umenipata hapo?