Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,404
Reaction score
100,602
Eti tumefulia, eti hatuwezi kwenda hata nyumbani. Hiki ndio kinachowaumiza watu na kutuita wezi. We are going home na tutarudi tena. Hapo Tupo Mombo Korogwe tunakula Mbuzi kwanza then safari inaendelea
IMG_20161223_200335_767.jpg
IMG_20161223_200400_100.jpg
IMG_20161223_200419_895.jpg
 
Ndio maana kimara kuna foleni ya kufa mtu leo
Acha kabisa mfano tuu mbezi stand mpya mabasi ya mikoani yalikuwa yanapark hadi kwenye vituo vya salama za kawaida za mbezi-mlandizi
 
Back
Top Bottom