Tunakumbushana tu

Tunakumbushana tu

watu wapo vizuriii 😅😅
uwezo wakooo tyuui
Screenshot_20230623-175751.png
 
Kuna siku nilikuwa kikombe halafu wife akaanza kuniletea mdomo kuhusu gambe ebanae nikamfungukia kwa hasira za maji vile vile "kwanza shukuru Mungu siku nakutongoza nilikuwa nimekunywa" unadhani ningekuwa timamu ningekutokea?!
basi ugomvi ukaishia palepale.
Aliamua tu ugomvi uishe, kwa hiyo ulilewa siku uliyomtokea, siku uliyoenda kutoa mahari hadi siku mliyofunga ndoa ulilewa?
 
umewasahau wanaotamka maneno makali wakiwa wamelewa.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom