Asemacho mtu ni matokeo ya anachokiamini hata kama ni kinyume cha uhalisia. Akikuita wewe ni mwizi, ni kwa sababu anaamini wewe ni mwizi hata kama kiuhalisia wewe si mwizi wala hujawahi hata kulamba sukari kiwiziwizi.Usisahau maneno makali aliyokutamkia mtu akiwa na hasira kumbuka yana ukweli ndani yake....haijalishi ataomba msamaha au hatoomba msamaha wewe kuwa makini nae......mtu mwenye hasira anaporopoka ni sawa na mlevi wanajua wanachokitamka.
NB:Tumkumbuke Muumba wetu siku za ujana wetu.Madereva gari za New force kuweni makini barabarani bado tunataka kuishi.🙏🙏🙏
🤣🤣🤣🤣 Sikuzote huwa wanamaanisha mkuuAsemacho mtu ni matokeo ya anachokiamini hata kama ni kinyume cha uhalisia. Akikuita wewe ni mwizi, ni kwa sababu anaamini wewe ni mwizi hata kama kiuhalisia wewe si mwizi wala hujawahi hata kulamba sukari kiwiziwizi.
Ushayakanyaga huko...😂 Umelikirofisha lijamaa limekulewea limekuambia halikutaki..🤣Usisahau maneno makali aliyokutamkia mtu akiwa na hasira kumbuka yana ukweli ndani yake....haijalishi ataomba msamaha au hatoomba msamaha wewe kuwa makini nae......mtu mwenye hasira anaporopoka ni sawa na mlevi wanajua wanachokitamka.
NB:Tumkumbuke Muumba wetu siku za ujana wetu.Madereva gari za New force kuweni makini barabarani bado tunataka kuishi.🙏🙏🙏