🤣🤣🤣🤣🤭 Unataka kusema nini mkuu?Basi Kuna introvert mmoja tunakaa nae jirani jamaa Kwa kifupi ni zuzu mnyonge sana na always anajikuta Yuko serious kinyama
Kuna pisi alikua anaielewa kinoma kila siku anaomba viberiti vya kuchomoa udi wa mbu😂😂 kumbe anakosa sounds za kuomba adi namba baada ya kuona akiteseka ikabidi nimoe contact ya yule manzi ndo akamaliza mchezo mpaka Leo ninavoongea manzi imetoka kumfulia hapa huku yeye akiwa kazini.
NB MANZI INAFANYIA MAABARA HAPA HC😂😂
NAKALA IKUFIKIE Mzee wa kupambania
Mshamba mshamba_hachekwi
To yeye
Njoo upate tuisheni hapalabda mtufundishe hayo maneno makali..
ulimsaidia mwana, una sehemu yako mbinguni😂Basi Kuna introvert mmoja tunakaa nae jirani jamaa Kwa kifupi ni zuzu mnyonge sana na always anajikuta Yuko serious kinyama
Kuna pisi alikua anaielewa kinoma kila siku anaomba viberiti vya kuchomoa udi wa mbu😂😂 kumbe anakosa sounds za kuomba adi namba baada ya kuona akiteseka ikabidi nimoe contact ya yule manzi ndo akamaliza mchezo mpaka Leo ninavoongea manzi imetoka kumfulia hapa huku yeye akiwa kazini.
NB MANZI INAFANYIA MAABARA HAPA HC😂😂
NAKALA IKUFIKIE Mzee wa kupambania
Mshamba mshamba_hachekwi
To yeye
U introvert sio ujanja🤣🤣🤣🤣🤭 Unataka kusema nini mkuu?
Nipo nimejaa tele Dr.Upooo? Nimekumiss wewe mwanamama
Inaonekana nimekuwa mgumu kuelewa ee😁😁
Nateseka💔Inaonekana nimekuwa mgumu kuelewa ee😁😁
Nadhani Ata mwenye ule Uzi alikwisha kula ban😂😂Nipo nimejaa tele Dr.
Kuna sehemu nilikuta umenitag nilikuwa nimebanwa kiaina..wakati nataka reply sikuona tena ile comment
🤣🤣🤣chai