Basi Kuna introvert mmoja tunakaa nae jirani jamaa Kwa kifupi ni zuzu mnyonge sana na always anajikuta Yuko serious kinyama
Kuna pisi alikua anaielewa kinoma kila siku anaomba viberiti vya kuchomoa udi wa mbu😂😂 kumbe anakosa sounds za kuomba adi namba baada ya kuona akiteseka ikabidi nimoe contact ya yule manzi ndo akamaliza mchezo mpaka Leo ninavoongea manzi imetoka kumfulia hapa huku yeye akiwa kazini.
NB MANZI INAFANYIA MAABARA HAPA HC😂😂
NAKALA IKUFIKIE
Mzee wa kupambania
Mshamba mshamba_hachekwi
To yeye