Tunakumbushana tu

Tunakumbushana tu

Usisahau maneno makali aliyokutamkia mtu akiwa na hasira kumbuka yana ukweli ndani yake....haijalishi ataomba msamaha au hatoomba msamaha wewe kuwa makini nae......mtu mwenye hasira anaporopoka ni sawa na mlevi wanajua wanachokitamka.

NB:Tumkumbuke Muumba wetu siku za ujana wetu.Madereva gari za New force kuweni makini barabarani bado tunataka kuishi.🙏🙏🙏
Mm naamini wakati wa matan ndo mtu anapitishia ukwel ndan yake .kumbuka utani n maneno ya mizaha ila yenye ukwel ndani yake......kuwa makin na matani ya watu wako wa karbu....huo ndo ukwel..🤨
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom