Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 10,388
- 12,081
Wanaobeza wana kosa gani?Kama unatumia mitandao nadhani umewaona TFF (Tanganyika freedom fighters) wanakiri kuhusika na kumkata kata mapanga mwenyekiti wa CCM kijiji cha mkoani Mbeya na kumshambulia polisi hadi kifo.
Sikuwahi kufikiria hata siku moja tutafikia huku na cha kushangaza nimesoma baadhi ya comments wakifurahia huo ukatili na kuonyesha utayari wa kuwa sehemu ya hao TFF.
Haya sio mambo ya kubeza hata kidogo, kwa sasa yanaweza kuonekana kama cheche lakini yakianza kushika moto this will be dangerous, very dangerous,
Don't you know that ccm is the root cause??