KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,215
- 56,855
tunaita WW3mnatunyoosha 🙌🙌🙌
tukutane angani kwenye ungo
tunaita WW3mnatunyoosha 🙌🙌🙌
tukutane angani kwenye ungo
Sasa,kapuku kama mimi ataniloga kwa kutaka nini?Labda anifanye msukule niwe namlimia mashamba.Wanaume tuarogwa sana
Hata sisi Midume tunaroga mkuuWanaume tuarogwa sana
Kwann mkuuMimi naoa na wakunifunga hayupo na hatakuwepo.
Nalindwa kwa ulinzi ambao hauonekani kwa macho.Kwann mkuu
Hakika hayo yanawezekana,kuna njemba moja iliwahi niomba nimtafutie jimama limlee. Jibu nililompa hajawahi nisogelea kwa upuuzi huo. Likiniona linajificha kabisaaInawezekana mkuu, kwa sababu kwa sasa kuna wimbi kubwa la vijana wanalelewa na wamama waliojiimarisha kiuchumi
Mungu anakuonaNa mrogwe tu.
Ni wakuogopa hawa watuKuna dada huwa nimezoea kumtania alinipa orodha ya jamaa tunao fanya nao kazi walio tengenezwa na wake zao (ni wamama wa nyumbani) duu na ukiwacheki washkaji wamepoa kinoma wanashinda nyumbani tu wakitoka job yaani ni zaidi ya makondoo,wanaume tunalishwa matakataka sana na hawa viumbe tulio watoa ubavuni.
Hahahahah hao wazee wa ndio mzeeKuna dada huwa nimezoea kumtania alinipa orodha ya jamaa tunao fanya nao kazi walio tengenezwa na wake zao (ni wamama wa nyumbani) duu na ukiwacheki washkaji wamepoa kinoma wanashinda nyumbani tu wakitoka job yaani ni zaidi ya makondoo,wanaume tunalishwa matakataka sana na hawa viumbe tulio watoa ubavuni.
si ndio tunawaroga, huo ndio msaada.Unatusaidiaje mkuu, ili tusiangamie zaidi