Tunafanyiwa ulozi sana kwenye mahusiano

Mchawi wako nyege zako mwenyewe. Sasa endelea kuhalalisha uasherati wako kwa mke wa mtu kwa kisingizio cha kuhisi umerogwa, uishie kurogwa kweli uwe kama chizi ukaombe papa mbele ya mumewe ambae nae kesharogwa uishie kufumuliwa rinda.
Haa haa haa
 
Endelea kutupa update CIA wetu
Hii ni kweli kabisa .....

Kuna gruop la watsaap la wamama nillingia kinyamela ili kukamilisha research yangu........Kama CIA m.bobezi

Aiseee Mambo ambayo wamama wanashauriana humo...kuhusu Mambo ya kuwafunga wanaume.....ni hatari tupu......ukiona unaweza ....kimbia jukumu la kuoa

Wanaume ....maombi kwa MUNGU ni muhimu
 
kuna mshkaji wangu siku anatoka kzini mke wake akampigia simu apitie booking ofisi za mabasi..ampokelee mzigo wake.

jamaa akapokea kimfuko cha rambo.
akili ikamtuma afungue aone..hehehe alijutaa.

karatasi zimefungwa madawa na maelekezo yote..alichoka
 
Back
Top Bottom