Tunafanyiwa ulozi sana kwenye mahusiano

Hiz stori za uwanga zinanikumbusha stori ya jamaa yetu mmoja bana alipataga mchepuko wa kitanga. bidada kawiva vzuri km maharagwe yale ya njano. sasa jamaa akashangaa akiwa na mchepuko anapiga mashuti na darizi kama zote ila sasa akirudi nyumbani mambo yanakuwa doro si kawaida (mnara hausomi hata chembe) ila akisema tu aende kwa ule mchepuko ebwanaee litapigwa ligwaride hata la usiku kucha. Jamaa akaona ndoa yake inaelekea mashakan akafanya maamuzi magum akampiga chini fasta yule mchepuko kuinusuru ndoa yake. haya mauchawi yapo pandugu.
Hii ni kweli mkuu, ilishawahi kunitokea
 
Kuna dada huwa nimezoea kumtania alinipa orodha ya jamaa tunao fanya nao kazi walio tengenezwa na wake zao (ni wamama wa nyumbani) duu na ukiwacheki washkaji wamepoa kinoma wanashinda nyumbani tu wakitoka job yaani ni zaidi ya makondoo,wanaume tunalishwa matakataka sana na hawa viumbe tulio watoa ubavuni.
Naomba connection ya hao wamama.
 
Mnayataka wenyewe kwa kuhangaika kwenu. Kutaka kugusagusa kila muonacho mnaishia kugusa visivyoguswa

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Amina sana mama mtumishi.Tuombee sisi wadhambi ili tuache Upuuzi huo.
 
Mkuu usipate tabu kuwaza sababu. Siku ya tukio nilikuwa kitaa na shangazi yangu sasa anti kapanda halafu mnene kiasi chake pumbavu lile kuona vile likahisi mi mario. Si likaomba eti nilitafutie jimama nalenyewe lilelewe!!!
 
Kuna dada huwa nimezoea kumtania alinipa orodha ya jamaa tunao fanya nao kazi walio tengenezwa na wake zao (ni wamama wa nyumbani) duu na ukiwacheki washkaji wamepoa kinoma wanashinda nyumbani tu wakitoka job yaani ni zaidi ya makondoo,wanaume tunalishwa matakataka sana na hawa viumbe tulio watoa ubavuni.
Tatizo mkiachiwa tu upenyo mnakuwa na miguu minne, sasa inahitajika timing tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom