Mukundumbusya
Senior Member
- Aug 11, 2016
- 168
- 143
Unawezahabari wakuu. nina simu samsung galaxy s4 gt_i9500 ina firmware ya kichina ambayo haina google. ninaweza ibadilisha kuwa international vision au ndo itabreak
Kwa hiyo i phone 4s km ina i cloud lock inaweza kutoka maana nazo km mbili ila kila nikijaribu kutafuta apps yeyote inayoweza toa hiyo kitu hakuna
Ni simu aina gan na ni model gan???ninasimu inasoma baadhi ya line zingine hazisomi naomba anaeweza kuitengeneza iweze kusoma line za mitandao yote anipm
mim nina simu yangu iphone 4 s nili restore sasa inadai reactivation lock na sina pasword za apple id iliokuwepo mnaweza kunisaidiaje?box ni hardware ambayo inafanya kazi pa1 na software, kwa mfano box yetu ni BST DONGLE kwahyo kale ka dongle ndo hardware while ile installation setup ndo software.. zenyewe huwa zina muunganiko wa codes ambapo mtumiaji kazi yako ni kuchagua operation unayoitaka then those codes zilishakuwa prepared and they will operate as u have chosen... kwa maelezo rahisi ni vifaa ambavyo tunavitumia kufanyia flashing, unlocking and repair n kingine ni kwamba kuna operations ambazo tunaweza kuzifanya pasina kutumia hizo boxes ila zile most advanced zinazohusisha advanced security bac zitahitaji box na si tu box bt box ambayo iko advanced.. baadhi ya simu zenye advanced security ni kama samsung hasa latest models with their securities like REACTIVATION LOCK na hata kwenye kufanya repair hasa hasa reading and writing of certs na hata qcn.. huduma nyingi za hizi simu za kichina huwa zinafanyika na hizo box bt nyingi kama cyo zote huhitaji box.. kuna DEVELOPERS ambao hufanya baadhi ya hizi software za box zitumike bila ya kuwa na hardware yake na kwa lugha rahisi tunaziita CRACKS yaani box software ambayo iko cracked.. kwa mfano Z3X box unaweza ukatumia software yake bila kuwa na hardware yake lakini ikumbukwe box yoyote ambayo iko cracked itafanya baadhi ya kazi na si zote na kwa mfano wa hyo box tajwa hapo juu yaani Z3X operations nyingi za repair and unlock hazitofanya kazi na utakapotumia hizo cracks unakuwa huna uwezo wa kufanya update hadi usubiri developers wafanye cracking ya version tofauti.. watengenezaji wa hizo box huwa wanajua pia kama kuna watu wanaofanya cracking ya software zao hvyo kila wanavyofanya update huwa wana improve securities na ndo maana box nyingi za kisasa zinatumia SMARTCARD tofauti na box za zamani kama VOLCANO,GPG na nyingine... hope ntakiwa nimejibu hata kwa 10% bt sory for very long and boring answer
Weka hzo inazokudaimim nina simu yangu iphone 4 s nili restore sasa inadai reactivation lock na sina pasword za apple id iliokuwepo mnaweza kunisaidiaje?
Mmhhh kwan J7 ina HIOS kweli!!! Kama ndo hvo surulisho ni kufanya factory data reset ikifail hapo inabid ikafanyiwe full firmware flashing.Mimi bwana natumia TECNO BOOM J7 kuna Jamaa Ali niazima katumia kama WK iv baada ya kunrudishia kila nki washa ina andika HIOS IS STARTING bas ina chelewa kweli kuwaka :-Msaada tafadhal
mkuu uko wapiii???Nina Lg mbili Stylo ms631 na G2 flex ls996 inahitaji zimekufa baada ya kuflashiwa yoyote anaweza kuziamsha na jtag anipm
Sent using Jamii Forums mobile app
SijaelewaMsaada, mwenye firmware ya Vodafone vfd 300, maana niliyodownload online baada ya kuflash inaishia kwenye start up ring
Naomba Firmware ya Vodafone VFD 300 (smartmini 7) ambayo itaifanya simu yangu iwake mpaka mwisho, maana nimeflash kwa kutumia niliyodownload online simu inaishia kwenye kile kiduara kinachozunguka wakati wa kuwaka
Maduka ya spare za simu kariakoo mtaa wa Agray,Samahani naomba msaada japo ninyi ni mafund wa software i hop mnaweza mkafaham wap nitapata kioo cha blackberry Z 10 cpu yake ni STL -003
Sent using Jamii Forums mobile app