benmatelefone
Member
- Jun 12, 2014
- 10
- 17
poa mkuu shukran0717458447
poa mkuu shukran0717458447
Sina uhakika kwani nawapa watalamuunaflash na firmware hyo hyo au tofauti?
vipi kuhusu sites kubwa na maarufu duniani zinazotoa free tutorials, roms na hata tools for free?.. hapa nazungumzia sites like GSMHOSTING, XDADEVELOPERS, HOVATEK, NEEDROM na nyingine.. na kwa sasa nadhani kila kitu kuhusu mobile kiko wazi online ni suala la ku search na idea tu.. kuna blogs na websites ngapi zinafanya free sharing?The Word SUNDAY-FLASHER refers to FREE JOB,CRACK USERS,(infact people without boxes) dis guyz re wizards ..
DNT EVEN ALLOW DEM TO SEE YOUR JOB..DNT ALLOW ANYBODY TO SEE YOUR PC SCREEN SELF..
AAAHH I BE NUMBER ONE FOR BENDING MY PC SCREEN IF U COMES TO DAT.. U NO FIT SEE MY SCREEN SELF IF U COME MY OFFICE....
MY PEOPLE HERE KNOWS ME WELL...
I DNT JOKE WITH MY HANDWORK OOOH..
DO U KNW WHAT IT TAKES 4 ME TO GET TO DIS STAGE OF LIFE IN GSM MARKET..
DEN I GO COME SHOW U FOR FREE..
ASK ANY OF MY BOYS I TRAINED.THE LEAST I COLLECT TO TEACH YOU WORK IS 60K..LAST..
COLLECTING SUCH AMIUNT WILL MAKE YOU D LEARNER TO BE SERIOUS BCOS U PAID HUGE MONEY..
AFTER LEARNING U WILLNT PLAY AGAIN OR DO FREE WORK...
Ina tatzo kabsa nataka niiflash kwa ile stock firmware iliyokua unlocked Kama ilivyonunuliwa, maana haiishi kujirestart na jumbe za "unfortunately has stopped" zimekua nyingi sana mpaka kero ni sim ya dogo hapa.hyo y3+ unataka kuifanyia unlock au ina tatizo unahitaji kuiflash?
hizo zote ninazo ambazo ni backup kutoka kwenye cmu bt nafikiria namna ya kushare na wew... kuna kitu inaitwa TEAM VIEWER, umeshawahi tumia hii kitu?Ina tatzo kabsa nataka niiflash kwa ile stock firmware iliyokua unlocked Kama ilivyonunuliwa, maana haiishi kujirestart na jumbe "unfortunately has stopped" zimekua nyingi sana mpaka kero ni sim ya dogo hapa.
Mtwara- Masasihapo sasa ntashindwa kijua coz mafundi tunatofautiana, uko wap wew?
Mkuu nafaham hii team viewer Kama software kwenye PC na smartphone kama app kwa ajiri ya kuiconnect PC na smartphone au unamaanisha ipi mkuu?hizo zote ninazo ambazo ni backup kutoka kwenye cmu bt nafikiria namna ya kushare na wew... kuna kitu inaitwa TEAM VIEWER, umeshawahi tumia hii kitu?
mimi nikiwa na team viewer kwenye pc yangu na wewe ukawa nayo then wote tukazifungua na mim nikaingia user id ambayo wewe utanipa au mimi nikupe yangu then mimi naweza kubrowse contents zote za kwenye pc yako na wewe pia kufanya the same.Mkuu nafaham hii team viewer Kama software kwenye PC na smartphone kama app kwa ajiri ya kuiconnect PC na smartphone au unamaanisha ipi mkuu?
Maana wanasema inakua na softwareNaomba kuuliza waungwana ubora wa simu aina ya Nokia rumia,625
Duuuuh! Hii Kali mkuu!!!cjapata kuona kbsa kumbe hii software ina mambo amazing kama haya?mimi nikiwa na team viewer kwenye pc yangu na wewe ukawa nayo then wote tukazifungua na mim nikaingia user id ambayo wewe utanipa au mimi nikupe yangu then mimi naweza kubrowse contents zote za kwenye pc yako na wewe pia kufanya the same.
Kuna baadhi ya itel hazina recoverykila cmu ina recovery kaka, shida ni kujua combination ya keys... hyo method nlompa hapo inafanya kazi kwenye SPD nyingi