Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Simu yangu kuna MTU ameweka password (pattern) na amesahau Leo cku ya pili msaada plz
hopefully unaongelea ICLOUD LOCK ambayo huwa inadai user account na password zilizokuwa zinatumika.. ICLOUD ni kama FRP au REACTIVATION LOCK bt FRP na REACTIVATION LOCK zote hizo unaweza uka bypass so easily.. tofauti kubwa ni securities zinazotumiwa na APPLE na companies nyingine.. securities za companies nyingine unaweza bypass easily bt note securities za APPLE.. ikumbukwe kuwa apple huwa wanafsnya software update mara nyingi tofauti na ANDROID na wanapofanya updated huwa hasa wanalenga kufix security loops/holes zilizopo ili kuzuia breach.. kuna developers ambao wanaweza fanya bypass ys ICLOUD bt ni kuanzia iphone4 kushuka chini na hii ni kwa sababu ys security iliyopo kwenye iphone4 kishuka chini bt baada ys kufanyiwa bypass huwa haziwezi kupata network... kingne ni kuwz apple wanatumia OS yao wenyewe tofauti na android ambayo ni so common hvyo huws wanainvest sana kwenye security ili kulinds products zao.. kikubwa nadhani ni regular security check and update and fixing those security holesKwa nn i phone zikiwa blocked hazifunguliwi au kuna namna nyingine ya kuzifungua
Kwa hiyo i phone 4s km ina i cloud lock inaweza kutoka maana nazo km mbili ila kila nikijaribu kutafuta apps yeyote inayoweza toa hiyo kitu hakunahopefully unaongelea ICLOUD LOCK ambayo huwa inadai user account na password zilizokuwa zinatumika.. ICLOUD ni kama FRP au REACTIVATION LOCK bt FRP na REACTIVATION LOCK zote hizo unaweza uka bypass so easily.. tofauti kubwa ni securities zinazotumiwa na APPLE na companies nyingine.. securities za companies nyingine unaweza bypass easily bt note securities za APPLE.. ikumbukwe kuwa apple huwa wanafsnya software update mara nyingi tofauti na ANDROID na wanapofanya updated huwa hasa wanalenga kufix security loops/holes zilizopo ili kuzuia breach.. kuna developers ambao wanaweza fanya bypass ys ICLOUD bt ni kuanzia iphone4 kushuka chini na hii ni kwa sababu ys security iliyopo kwenye iphone4 kishuka chini bt baada ys kufanyiwa bypass huwa haziwezi kupata network... kingne ni kuwz apple wanatumia OS yao wenyewe tofauti na android ambayo ni so common hvyo huws wanainvest sana kwenye security ili kulinds products zao.. kikubwa nadhani ni regular security check and update and fixing those security holes
iphone4 kushuka chini snd not 4s, ns itakapokuwa bypassed utakuws tu unatumia ksma media player... tembelea XDADEVELOPERS or GSMHOSTINGKwa hiyo i phone 4s km ina i cloud lock inaweza kutoka maana nazo km mbili ila kila nikijaribu kutafuta apps yeyote inayoweza toa hiyo kitu hakuna
ngoja nitafute mkuutafuta kitu inaitwa NOX APP PLAYER
Mkuu jaribu koplayer au youwave ni free Ila youwave haiconsume ram Sana maana inachukua low space na ina android 4.4 kitkat na Kama unataka android 5 yaani lollipop ipo ila inauzwa, so just Google crack yake ipo utaipata.Watalaamu nisaidieni nataka kujua application zitazoniwesha kupata Instagram kwenye pc ukiacha bluestacks.
Itel 1453aina ya cmu na model pls
toa battery kwenye cmu yako then rudisha, bonyeza power button na uishikilie na baada ya kama 3 seconds bonyeza volume down na uishikilie na cmu ikionyesha itel logo achia power na uendelee kushikilia vol down... leta mrejesho nini kimetokeaItel 1453
Je kama nikiamua kubadili IMEIKweli. Maana walioishika nchi wenyewe hawajui hizi mambo. Imei repair sio dhambi kabisaaaa
tupo pamoja mkuuHabarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.
Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane

Mkuu simu yangu ya LG OPTIMUS 4XHD imepoteza IMEI baada ya kuitumia miaka 3. Hivyo haina network na imebaki kuwa camera tu. Nimejaribu kwa mafundi mbali mbali wa software bila mafanikio. Naomba ushauri wako tafadhali.Habarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.
Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
ukipiga *#06# inaleta imei zipi?Mkuu simu yangu ya LG OPTIMUS 4XHD imepoteza IMEI baada ya kuitumia miaka 3. Hivyo haina network na imebaki kuwa camera tu. Nimejaribu kwa mafundi mbali mbali wa software bila mafanikio. Naomba ushauri wako tafadhali.