Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Wakuu mimi natumia samsung j5,internal memory inaonesha 8Gb (ukiingia kwenye setting then storage)...ila application zingine zote za kuonesha memory ya simu zinaonesha cm yangu ina 4.67Gb

Hebu nisaidieni hapo.
 
Habari, ninashida kwenye simu yangu ya tecno J8, kila nikitaka kureset factory inanipa meseji ya unfortnately, settings has stopped, hivyo basi zoezi zima linakwama.
pia nkitaka kutumia whatsap na facebook messenger na instagram zinadai kuwa hakuna network connection, lakn mitandao mingine inafanya kazi kama kawaida, naombeni msaada wandugu.
 
Umeziruhusu kutumia internet hzo applications???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hopefully unaongelea ICLOUD LOCK ambayo huwa inadai user account na password zilizokuwa zinatumika.. ICLOUD ni kama FRP au REACTIVATION LOCK bt FRP na REACTIVATION LOCK zote hizo unaweza uka bypass so easily.. tofauti kubwa ni securities zinazotumiwa na APPLE na companies nyingine.. securities za companies nyingine unaweza bypass easily bt note securities za APPLE.. ikumbukwe kuwa apple huwa wanafsnya software update mara nyingi tofauti na ANDROID na wanapofanya updated huwa hasa wanalenga kufix security loops/holes zilizopo ili kuzuia breach.. kuna developers ambao wanaweza fanya bypass ys ICLOUD bt ni kuanzia iphone4 kushuka chini na hii ni kwa sababu ys security iliyopo kwenye iphone4 kishuka chini bt baada ys kufanyiwa bypass huwa haziwezi kupata network... kingne ni kuwz apple wanatumia OS yao wenyewe tofauti na android ambayo ni so common hvyo huws wanainvest sana kwenye security ili kulinds products zao.. kikubwa nadhani ni regular security check and update and fixing those security holes
Duuu nimesoma vizuli Ila chenga hakuna nililo elewa kweli hizi kazi za watu kwan nikitaka kujua aya mambo nafanyaje wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli kabisa ila naweza vipi kujuaa uu ufundi au unasomea course ziipi ili uwe na uu ujuzi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kikubwa ni kupata watu sahihi ambao utajifunza kupitia kwao na wewe kupenda kazi yako.. Hizo habari za course gani usomee huku hakunaga jombaa, kwa mfano mimi profession yangu ambayo nliikalia darasana na kugraduate ni LLB but now nko huku napiga kazi
 
Natumia Asus zenfone 6 natafuta MTU Mwenye ujuzi wa kuipandisha OS kuja hii ya leo kama unaweza nicheck hapa 0655090000
f0d1e6c485cd6176a14c7e13a4cf6490.jpg
 
Wanangu siko WhatsApp Jana nimepigwa simu night home .Ila Amna jinsi
 
Natumia Asus zenfone 6 natafuta MTU Mwenye ujuzi wa kuipandisha OS kuja hii ya leo kama unaweza nicheck hapa 0655090000
f0d1e6c485cd6176a14c7e13a4cf6490.jpg

Android 5.1.1 naweza nkakuwekea but haitokuwa official bali ni custom.. Kam unaelewa nini maana ya custom rom na uko tayari bac nicheki hapa 0717458447
 
Back
Top Bottom