Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

jaribu kurepair efs kwa kuwrite efs na kama utapata efs from another working phone itakuwa poa zaidi na hapo ikifail unatakiwa kuflash cmu yako with latest firmware
Tatizo lililopo kwasasa ni kwamba simu inaandika emergency call only yaani huwezi kupokea simu, kupiga simu, wala kutuma sms lakini mobile data ipo fresh kabisa unafungua internet na kuperuzi vizuri kabisa. Ndio nimekwamia hapo
 
Tatizo

Tatizo hapo ni imei za simu yako zitakuwa zime corrupt tuma kwenda no 15090 TCRA utapata jibu zuri kupata imei za simu bonyeza *#06#
 
Tatizo

Tatizo hapo ni imei za simu yako zitakuwa zime corrupt tuma kwenda no 15090 TCRA utapata jibu zuri kupata imei za simu bonyeza *#06#
Kweli aisee, nimecheck imei zime corrupt. Kwahiyo nita solve vipi hapo?
 
unahitaji certificate, u may use super imei option lakini kwakuwa wanatumia wengi haitokaa hata 1month itarudi kulekule... nina cert ya n900 ambayo ni clean haijawahi tumika nicheki kama uko serious
 
Habar wandugu
Naomba mnisaidie simu yangu kutambua tatizo ni nn
Huwa ina shida ya kuzima yenyewe
Kwa siku inaweza kuzima yenyew hata mara tano kwa siku
Ni tecno Y3+
 
nafikiri hii simu yangu itakuwa inahitaji mtu kama wewe nina HTC J one nilikuwa nai restore ikagomea njia sasa kila nikiiwasha inaishia katika logo ya HTC haiwaki mpaka mwisho na nikitumia shotikati kurestore kwa kuponyeza poweroff+volume- nikifika katika sehemu ya kuifanya restore inafeli na kuna sehemu inaniambia inahitaji app ya superuser ili ikamilishe mchakato wake, naomba msaada wako kaka nimeenda kwa fundi anahitaji 30000 yangu na usawa ulivyo jua limewaka mifukoni mwangu hatari, naomba msaada wakuu
 
box ni hardware ambayo inafanya kazi pa1 na software, kwa mfano box yetu ni BST DONGLE kwahyo kale ka dongle ndo hardware while ile installation setup ndo software.. zenyewe huwa zina muunganiko wa codes ambapo mtumiaji kazi yako ni kuchagua operation unayoitaka then those codes zilishakuwa prepared and they will operate as u have chosen... kwa maelezo rahisi ni vifaa ambavyo tunavitumia kufanyia flashing, unlocking and repair n kingine ni kwamba kuna operations ambazo tunaweza kuzifanya pasina kutumia hizo boxes ila zile most advanced zinazohusisha advanced security bac zitahitaji box na si tu box bt box ambayo iko advanced.. baadhi ya simu zenye advanced security ni kama samsung hasa latest models with their securities like REACTIVATION LOCK na hata kwenye kufanya repair hasa hasa reading and writing of certs na hata qcn.. huduma nyingi za hizi simu za kichina huwa zinafanyika na hizo box bt nyingi kama cyo zote huhitaji box.. kuna DEVELOPERS ambao hufanya baadhi ya hizi software za box zitumike bila ya kuwa na hardware yake na kwa lugha rahisi tunaziita CRACKS yaani box software ambayo iko cracked.. kwa mfano Z3X box unaweza ukatumia software yake bila kuwa na hardware yake lakini ikumbukwe box yoyote ambayo iko cracked itafanya baadhi ya kazi na si zote na kwa mfano wa hyo box tajwa hapo juu yaani Z3X operations nyingi za repair and unlock hazitofanya kazi na utakapotumia hizo cracks unakuwa huna uwezo wa kufanya update hadi usubiri developers wafanye cracking ya version tofauti.. watengenezaji wa hizo box huwa wanajua pia kama kuna watu wanaofanya cracking ya software zao hvyo kila wanavyofanya update huwa wana improve securities na ndo maana box nyingi za kisasa zinatumia SMARTCARD tofauti na box za zamani kama VOLCANO,GPG na nyingine... hope ntakiwa nimejibu hata kwa 10% bt sory for very long and boring answer
Box ipi ni bora na inayofaa kwa kazi?

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu mm n graduate wa dploma ya electronics n telecom pale dit nko familier na simu matitizo ya software kwny upande wa cm hasa hasa hz smartfone n nmekua nkreceive cm za watu wenyemattzo hapo mtaan kwetu and i was able to solve them lkn kwa ujanja ujanja yan cna zle mbn zenyew sa naona nmetokea kuaminika kama fund cm naomba kujuzwa nfanye nn au natakiwa niwe na nn ili niwe compitent kwenye hii fani ya ufundi simu kwenye software?

ⓑⓐⓓⓨ
 
take ur time uzijue kwanza cmu, cyo kwa brands bt hapa nazungumzia CPU na hata their boot sequences
 
Naptia wap ili kuvjua ivo mkuu

ⓑⓐⓓⓨ

wapo ambao huwa wanaweza kujifunza wenyewe bt kama utapata mtu unayemuamini yuko vizuri kwenye hii tasnia anaweza akakusaidia na nadhani itakuwa ni option nzuri zaidi... unatakiwa uwe umejidhatiti na umeamua kufanya hii kitu.. investiment ni muhimu
 
Back
Top Bottom