Denis Alphonce
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 674
- 924
Achana nayomim nina simu yangu iphone 4 s nili restore sasa inadai reactivation lock na sina pasword za apple id iliokuwepo mnaweza kunisaidiaje?
Umefanikiwa mkuuNaomba Firmware ya Vodafone VFD 300 (smartmini 7) ambayo itaifanya simu yangu iwake mpaka mwisho, maana nimeflash kwa kutumia niliyodownload online simu inaishia kwenye kile kiduara kinachozunguka wakati wa kuwaka
Ndiyo
No network!!!Simu yangu ni sumsung galax s6 imekata mtandao inaandika no network nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia free system storage ni kias ganWakuu ivi kama simu ina onyesha inanafasi kubwa tuu kwenye internal memory then ukitaka kudownload app inadai hakuna space yakutosha shida ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
km inaji restart ama kuganda ni software problemTekno Y6 inakata ghafla net ya line zote mbili na wakati mwingine inazimika yenyewe mpaka utoe betri uiache kama DKK tano Hivi ukiweka betri unawasha inawaka,pia kuna wakati inastop application zote.tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
hyo yaweza ikawa ni tatizo la hardwareTekno Y6 inakata ghafla net ya line zote mbili na wakati mwingine inazimika yenyewe mpaka utoe betri uiache kama DKK tano Hivi ukiweka betri unawasha inawaka,pia kuna wakati inastop application zote.tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
ila kwa mimi kinachonifanya nseme hardware n hyo tabia ya kuiacha kwa dakka 5 ndio awashe. au pia labda atueleze km hakuna overheatingkm inaji restart ama kuganda ni software problem