Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Wakuu Salaam kwanza ....

Msaada kioo cha hii simu nakipataje
5f7e3f8bcb31a0aa729870480c4a26a2.jpg
 
Sawa nilidhani unataka utumie mitandao yote
tumia iRoot ama King root for pc enable usb debugging
Mkuu nishajaribu apk zote zimekataa nimejaribu kwa adb command wapi kingo na king for PC wapi yani hapa ata sijelewi
 
Mkuu nishajaribu apk zote zimekataa nimejaribu kwa adb command wapi kingo na king for PC wapi yani hapa ata sijelewi
Wengi wanakosea ni lazima uwe na internet pia drivers za simu yako ziwe installed vizuri
 
Wengi wanakosea ni lazima uwe na internet pia drivers za simu yako ziwe installed vizuri
yani sio kwamba sijawai root au kufanya custom rom sema hiki ki phone nakipenda ila kina limit milion kidogo
 
yani sio kwamba sijawai root au kufanya custom rom sema hiki ki phone nakipenda ila kina limit milion kidogo
Download rooted firmware kabla huja flash' backup your firmware first' hiyo simu yako ina mtk 6580 cpu
 
du nimechoka yaki kila njia inakataa mwishowe igome kuwaka
 
Nataka Ku unlock vfd 301 itumie laini zote maana ni double line so data natumia voda tu
 
Wakuu mimi nina shida na samsung s4 niliinunua online kutoka korea ikiwa used.
Sasa tatizo ni kwamba haipandi 4G hata ukiweka line inayoshika 4G kama ttcl.

**** mtu nilimuuliza aliniambia kwamba 4G iliyotengenezewa simu hii ni kwa band za korea so kwa bongo haiwezi kushika labda nibadiri band..

Naombeni msaada wa kubadili band hizo au kama kuna msaada mwingine ili na mimi nienjoy 4G ya ttcl na tigo maisha yawe murua..

Natanguliza shukrani kwa wadau wote
Ni model gan
 
Flash with Latest firmware may solve your problem
Tatizo lililopo kwasasa ni kwamba simu inaandika emergency call only yaani huwezi kupokea simu, kupiga simu, wala kutuma sms lakini mobile data ipo fresh kabisa unafungua internet na kuperuzi vizuri kabisa. Ndio nimekwamia hapo
 
Back
Top Bottom