Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

tunakujibu kwa jinsi unavyo jieleza
dah,ni hivi wakuu nina tecno w8 nilii wipe factor reset....asa napotaka kuingia kwenye matumizi inagoma haiendelei inataka nitumie wi fi na ninapotumia wi fi inakuwa inahitaji email ya kwanza iliyokuwa imewekwa asa nikiweka nyingine inagoma na ile email ya mwanzo nimeisahau kwani sikuiweka mimi....msaada mkuu
 
Uzi mzuri sana ila kuna baadhi unapotosha kidogo, nimeupitia jujuu mda huu, ila kwa kuanzia tu , sharing of cert na efs sio vizuri mkuu, na umesema icloud ni kama FRP , sio kweli mkuu FRP ni factory reset protection,(Firmware Reset Protection)
Mkuu frp waweza itoa kwa njia ipi hasa ukiwa huna boksi au pc
 
Just to look like samsung !!!!!!!

Its possible.
However if you need help, please let me know if i can be of further assistance.

kama hiyo rom ya samsung ni MTK, (ofcouse kuna samsung original zinazotumia MTK processors,)

Unahitaji ku extract system.img. na kubadislisha baadhi ya vitu kwenye system folder. Ila hakikisha chipset zinafanana. yaani kama hiyo simu yako chipset yake ni MT6589 basi zote ziwe MT6589.

Vitu muhimu vya kubadilshia.
*vendor
*usr
*modules
*hw
*libncurses.so
*firmware
*vold.fstab
*vold.fstab.nand
*bluetooth

Note: Try it at your own risk.

Niliwahi fanya hivyo long time kwenye H5. na kosa nililofanya sikurudishia original IMEI. ni kipindi kabla TCRA hawajaanza kufungia simu, Hiyo H5 ikawa kilakitu ni samsung. mwenye simu aliipendelea sana, Ila wakati TCRA wanafungia simu na yake ikawa miongoni akaipeleka kwa fundi wakamwambia alipie maana ni feki, moja kwa moja akaenda kunishatki police kuwa nilimbadilishia simu maana yake haikuwa samsung.
Namna ya kubadili mkuu
 
dah,ni hivi wakuu nina tecno w8 nilii wipe factor reset....asa napotaka kuingia kwenye matumizi inagoma haiendelei inataka nitumie wi fi na ninapotumia wi fi inakuwa inahitaji email ya kwanza iliyokuwa imewekwa asa nikiweka nyingine inagoma na ile email ya mwanzo nimeisahau kwani sikuiweka mimi....msaada mkuu
hiyo ni frp ukitaka short cut nenda kwa fundi vinginevyo google how to remove frp on tecno w8
 
Nashukuru sana kwa msaada wenu 2991na Calvin Power.Narejea Tena Kuuliza Jamani simu yangu Ya VDF 301 Smart Bomba ina Internal Memory 4Gb Ndogo Nikanunua SD Card 8GB Ili Kuongeza Uwezo Wa Kupakua Apps Baadae Nikaenda Kwenye Setting Nika set Memory iwe Inahusika Na Storage ya Kila Kitu Bt Nikiingia Playstore Apps zinadai Hamna Space katika Simu na Kwenye Simu Nimeshindwa Kuzihamishia Baadhi ya App Kwenye memory card msaada wenu wanajamvi______Na je Kuna Madhara ya Ku fomat Memory Card??????????
 
Hey guys nahitaji mwenye FURIOUS GOLD au hata anayeweza saidia nikaipata.. Nina shida na hyo box na inahitajika haraka saaaaaaana
 
Nashukuru sana kwa msaada wenu 2991na Calvin Power.Narejea Tena Kuuliza Jamani simu yangu Ya VDF 301 Smart Bomba ina Internal Memory 4Gb Ndogo Nikanunua SD Card 8GB Ili Kuongeza Uwezo Wa Kupakua Apps Baadae Nikaenda Kwenye Setting Nika set Memory iwe Inahusika Na Storage ya Kila Kitu Bt Nikiingia Playstore Apps zinadai Hamna Space katika Simu na Kwenye Simu Nimeshindwa Kuzihamishia Baadhi ya App Kwenye memory card msaada wenu wanajamvi______Na je Kuna Madhara ya Ku fomat Memory Card??????????

Hello Mcharo360, Karibu !! 😀

Kwa uelewa wangu nafikiri maelezo yangu hapa chini yanaweza yakakusaidi kwa ninavyoamini mimi ila yanaweza yakapishana na ya wengine pia, so Karibu

Internal Memory ya Simu na Storage ya SD Card ni vitu viwili tofauti:
Hapa sitaelezea kwa undani tofauti zao, ila nitajaribu kukuelezea ni kwanini unapata hilo tatizo.
Hakuna mahusiano yoyote kwenye ukubwa wa SD card na Apps unazopakua, maana haziendi kwenye SD card.
Unapopakua Apps huwa zinahifadhiwa kwenye "Internal Memory ya Simu" na sio kwenye "SD Card", labda kama simu yako umeifanyia haya mawili.
  • Simu yako isiwe chini ya android ya "Marshmallow"
  • Uwe umeifanya SD Card yako kuwa Internal badala ya External storage. Ila sidhani kama VDF 301 inawezekana kufanya haya.
Kama upo kwenye android chini ya "Marshmallow", Hutaweza kuhamisha apps kutoka kwenye Internal Storage kwenda kwenye SD Card Storage. Unahitaji atleast Marshmallow ili uweze kuifanya SD Card yako kuwa Internal badala ya External ili iweze ku run Apps zako kutoka kwenye SD Card.

Note: Zoezi hili lifafuta kilakitu kwenye SD card yako na kuwa "blank"

Namna ya Kuifanya SD Card kuwa Internal Storage Kwenye "Marshmallow"
  • Nenda kwenye “Settings”, halafu chagua “Storage”
  • Chagua "SD Card", halafu bofya "vidot vitatu kwa juu kwenye menu"(top-right), hapa chagua “Settings”
  • Chagua “Format as internal”, halafu “Erase & Format”.
  • SD Card yako itakuwa imebadilishwa na kuformatiwa kuwa Internal Storage.
  • Zima halafu washa Simu yako
 
Namna ya kubadili mkuu

Hellow Mtu Mbovu,
Jesus !!!!!! is this your name? Almighty God did not Create Mtu Mbovu,

Kama nilivyoahidi kuweka step by step tutorial kwa atakaehitaji !!! BUT mda umenitupa sana nahitaji kulala kidogo maana its very late japo kwa wengine saa hizi 4am( kumi usiku ) ni asubui wanawahi kuamka ila mimi kwangu nimechelewa ni mda wa kulala. kwa wale wanaoamka wanasema wanawahi sana kuamka na sisi tunaotaka kulala tunasema tumechelewa kulala😀😀😀😀😀😀

Wengine wanasema Very late wengine wanasema Very early.
 
Back
Top Bottom