Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Nna Tecno H6 nahitaji kuiwekea ROM ya Yoyote ya Samsung yani naihitaji kuichange Tecno H6 to look like samsung, Is it Possible???
huwezi weka rom ambayo haiko compatible na cmu yako, tecno h6 hata ukiweka rom ya tecno h5 haiwezi fanya kazi.. better way ni kutumia launchers, jaribu arrow launcher n naamini utaifurahia
 
lg zipo nyingi sana zenye chip za mediatek.. samsung ndo sijaziona bt spd kwenye samsung zipo.. kwa maono yangu ni kuwa mtk ni cpu nyepesi ukifananisha na cpu nyingine so huenda ndo sababu samsung hawaitaki
Wameiweka katika grand prime
 
tatizo hasa ni nin kwenye hyo cmu?.. ina screen lock ambyo huijui au inadai email kwenye store?
Inadai email imejilock huwezi kuingia ndani ukiweka laini simu zinaingia na unapokea ila wewe huwezi kupiga
 
Wanajamvi Naomba Msaada Je Ku Unlock Vodacom smart Bomba Kuna Madhara na Kama Hamna Je Nawezaje Ku Unlock Niweze Kutumia Mitandao Yote Kwenye Internet?????
 
Wanajamvi Naomba Msaada Je Ku Unlock Vodacom smart Bomba Kuna Madhara na Kama Hamna Je Nawezaje Ku Unlock Niweze Kutumia Mitandao Yote Kwenye Internet?????
hakuna madhara ku unlock, na inawezekana kabisa ukafanya unlock ukatumia mtandao wa chaguo lako
 
unahitaji rom kwa kuwa cmu ina tatizo au unataka iliyoko unlocked ili ufanye sim unlock ya hyo device yako ndugu?
Nahitaji rom ili ni unlock 4g/3g network kwa mitandao mingine
 
wakuu mm natumia boom j8 Mara nyingi ina jizima yenyewe na kuji restart na hata kama betri imejaa ikisha Fanya mchezo huu betri ina kwisha kabisa, msaada tafadhari
 
Hii ni tecno N8 ya tigo... Yani 4g & 3g imekuwa enabled kwa line za tigo tuu .
huwa wanafanya simu ina line mbili bt line yenye 3g/4g ni ya tigo pekee na huwa ni line namba moja na ukiweka line tofaut na tigo haitosoma au itakudai NCK.. kama hyo ndo case jst unafanya unlock.. au hyo yako ikoje?
 
Back
Top Bottom