Jinsi ya kuzipata hizo ambazo in crackedbox ni hardware ambayo inafanya kazi pa1 na software, kwa mfano box yetu ni BST DONGLE kwahyo kale ka dongle ndo hardware while ile installation setup ndo software.. zenyewe huwa zina muunganiko wa codes ambapo mtumiaji kazi yako ni kuchagua operation unayoitaka then those codes zilishakuwa prepared and they will operate as u have chosen... kwa maelezo rahisi ni vifaa ambavyo tunavitumia kufanyia flashing, unlocking and repair n kingine ni kwamba kuna operations ambazo tunaweza kuzifanya pasina kutumia hizo boxes ila zile most advanced zinazohusisha advanced security bac zitahitaji box na si tu box bt box ambayo iko advanced.. baadhi ya simu zenye advanced security ni kama samsung hasa latest models with their securities like REACTIVATION LOCK na hata kwenye kufanya repair hasa hasa reading and writing of certs na hata qcn.. huduma nyingi za hizi simu za kichina huwa zinafanyika na hizo box bt nyingi kama cyo zote huhitaji box.. kuna DEVELOPERS ambao hufanya baadhi ya hizi software za box zitumike bila ya kuwa na hardware yake na kwa lugha rahisi tunaziita CRACKS yaani box software ambayo iko cracked.. kwa mfano Z3X box unaweza ukatumia software yake bila kuwa na hardware yake lakini ikumbukwe box yoyote ambayo iko cracked itafanya baadhi ya kazi na si zote na kwa mfano wa hyo box tajwa hapo juu yaani Z3X operations nyingi za repair and unlock hazitofanya kazi na utakapotumia hizo cracks unakuwa huna uwezo wa kufanya update hadi usubiri developers wafanye cracking ya version tofauti.. watengenezaji wa hizo box huwa wanajua pia kama kuna watu wanaofanya cracking ya software zao hvyo kila wanavyofanya update huwa wana improve securities na ndo maana box nyingi za kisasa zinatumia SMARTCARD tofauti na box za zamani kama VOLCANO,GPG na nyingine... hope ntakiwa nimejibu hata kwa 10% bt sory for very long and boring answer
Thanks Sana Mkuu Ngoja Niufanyie KaziHello Mcharo360, Karibu !! 😀
Kwa uelewa wangu nafikiri maelezo yangu hapa chini yanaweza yakakusaidi kwa ninavyoamini mimi ila yanaweza yakapishana na ya wengine pia, so Karibu
Internal Memory ya Simu na Storage ya SD Card ni vitu viwili tofauti:
Hapa sitaelezea kwa undani tofauti zao, ila nitajaribu kukuelezea ni kwanini unapata hilo tatizo.
Hakuna mahusiano yoyote kwenye ukubwa wa SD card na Apps unazopakua, maana haziendi kwenye SD card.
Unapopakua Apps huwa zinahifadhiwa kwenye "Internal Memory ya Simu" na sio kwenye "SD Card", labda kama simu yako umeifanyia haya mawili.
- Simu yako isiwe chini ya android ya "Marshmallow"
Kama upo kwenye android chini ya "Marshmallow", Hutaweza kuhamisha apps kutoka kwenye Internal Storage kwenda kwenye SD Card Storage. Unahitaji atleast Marshmallow ili uweze kuifanya SD Card yako kuwa Internal badala ya External ili iweze ku run Apps zako kutoka kwenye SD Card.
- Uwe umeifanya SD Card yako kuwa Internal badala ya External storage. Ila sidhani kama VDF 301 inawezekana kufanya haya.
Note: Zoezi hili lifafuta kilakitu kwenye SD card yako na kuwa "blank"
Namna ya Kuifanya SD Card kuwa Internal Storage Kwenye "Marshmallow"
- Nenda kwenye “Settings”, halafu chagua “Storage”
- Chagua "SD Card", halafu bofya "vidot vitatu kwa juu kwenye menu"(top-right), hapa chagua “Settings”
- Chagua “Format as internal”, halafu “Erase & Format”.
- SD Card yako itakuwa imebadilishwa na kuformatiwa kuwa Internal Storage.
- Zima halafu washa Simu yako
Mkuu mbona mnaniruka. Nahitaji kuflash simu yangu kwa njia ya computer. Simu ni nokia belle reflesh 500. naomba maelekezo na mahitaji ya vitu ambavyo napaswa kuwa navyo. Nahitaji kuflash mwenyewMkuu nimeingalia hii kitu kwa nje hakuna IMEI nadhani ipo kwa ndani ambapo mpaka ikifunguka ndio naweza kuona, hapa tunaweza fanyaje mkuu,?
Mtafute c6Mkuu mbona mnaniruka. Nahitaji kuflash simu yangu kwa njia ya computer. Simu ni nokia belle reflesh 500. naomba maelekezo na mahitaji ya vitu ambavyo napaswa kuwa navyo. Nahitaji kuflash mwenyew
Uza spare kama kioo, na vingine la sivyo pigia mziki baasi, Hakuna anayejua kutoa icloud dunia hii tena bora iPhone 4 ila 7 hahahahahakutoa icloud i4n 7 msaada
naweza kutoa bei inategemea imeuzwa na kampuni ipiUza spare kama kioo, na vingine la sivyo pigia mziki baasi, Hakuna anayejua kutoa icloud dunia hii tena bora iPhone 4 ila 7 hahahahaha
naweza kutoa bei inategemea imeuzwa na kampuni ipi
Mambo ya iCloud na kuuzwa na kampuni ipi mbona ni vitu tofauti kabisa. Au umehisi ni carrier lock?? Amesema kutoa iCloud Ndugu
Hakuna kitu kama hicho mkuu...ukitaka kufaid custom rom we nunua brand kubwa hizi...hutokaa utaman stock firmwareHivi wakuu, hii kitu haiwezekan kwel! ani kuflash ROM ya Samsung au brand ya sim nyingne kwenye MediaTek devices mfano hizi teno??? Najulzaga sana hili swali vp wakuu inawekana ku configure hii kitu?
Mimi na samsung S7 .. ilikuwa version 6..nikapelekea jamaa wa customer service pale kkoo waniweke version 7...cha kushangaza baada ya kufanya update simu yangu ikapoteza network na imei inayosoma nitofaut sio iliyopo kwenye simu...msaada please ..wamekaa na simu yangu mwezi sasakuna kitu ambacho tunashindwa kuelewa na km huelewi ni vema kuuliza... kuna flashing, unlocking na repair.. kosa ni kufanya IMEI CHANGE yaani ije cmu lets say tecno p5 ambayo imei zake ziko blacklisted hvyo haina network then mimi nichukue imei za cmu nyingine iliyokufa mfano nokia 1280 niziandike kwenye ile p5 ambayo iko blacklisted..
Kweli kabsa mkuu nmefuatilia jana mtandaoni nikaona brand kubwa kubwa za sim zina custom ROMs nyingi sana zilizo modded na za kuvutia.Hakuna kitu kama hicho mkuu...ukitaka kufaid custom rom we nunua brand kubwa hizi...hutokaa utaman stock firmware
s7 haina imei change option, hapo unajaribu kuwrite default efs, super imei na vyote vikigoma unahitaji certificateMimi na samsung S7 .. ilikuwa version 6..nikapelekea jamaa wa customer service pale kkoo waniweke version 7...cha kushangaza baada ya kufanya update simu yangu ikapoteza network na imei inayosoma nitofaut sio iliyopo kwenye simu...msaada please ..wamekaa na simu yangu mwezi sasa