Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Habari wadau...
Hope tupo poa kabisa nami angina nichangie kidogo free solutions zinaiharibu tasnia hii ya ufundi cm, jambo hili limefanya hata soko la tools nyingi kushuka kwa kiwango kikubwa. Sio soko la flashing box pekee bali mpaka kwa mafund limepungua
Kwa hiyo unatakaje ?[emoji15]
 
Wakuu nahitaji msaada wa kuupgrade sony Z ultra to android 6.0 marshmallow kupitia hizi steps
How to Install Stable Android 6.0 Marshmallow ROM on Sony Xperia Z Ultra
  1. From this page download the update file (get all the 4 files that are listed there). Then from here download Google Apps package.
  2. Place the downloaded files on a separate folder, on desktop.
  3. Connect your Z Ultra with your computer by plugging in the USB cable.
  4. Transfer only the Google Apps package on your smartphone and then unplug the USB cord.
  5. Now, turn off your device completely. Next, reboot your Z Ultra into bootloader mode.
  6. Once more connect your device with your computer.
  7. Access the folder where you have placed the downloaded files and from there open a command prompt window.
  8. For the cmd window: press and hold the Shift keyboard key while right clicking on any blank space.
  9. Then, in the cmd window enter the following commands (press enter after each line): “fastboot flash boot boot.img”, “fastboot flash cache cache.img”, “fastboot flash system system.img”, “fastboot flash userdata userdata.img”, “fastboot reboot”.
  10. After doing that put your Sony Xperia Z Ultra into recovery mode.
  11. From there wipe the system by choosing “wipe data factory reset”, “wipe cache partition” and “wipe dalvik cache”.
  12. Then pick the Google Apps package (select “install zip from SD card” and “choose zip from SD card”) and install the mentioned package.
  13. Finally, from main menu of recovery select “reboot system now”.
That’s it. You can now experience Android 6.0 Marshmallow on your own Sony Xperia Z Ultra. Enjoy.
 
N8 tigo customized version nataka unlock hakuna njia nyingine zaidi ya physical
 
Nina Samsung A5(6)
Ukiongea Kuna Muda inajirestart yenyewe
Na Kuna Muda haizimi
Tatizo ni nn ?
Msaada tafadhali
 
N8 tigo customized version nataka unlock hakuna njia nyingine zaidi ya physical
may b mtu awe nayo kama hyo then aifanyie unlock halafu afanye firmware backup then afanye sharing ya hyo firmware na wew uflash hyo cmu yako kwa kutumia hyo firmware ambayo iko unlocked.. ni zoezi refu mno
 
kuna kitu ambacho tunashindwa kuelewa na km huelewi ni vema kuuliza... kuna flashing, unlocking na repair.. kosa ni kufanya IMEI CHANGE yaani ije cmu lets say tecno p5 ambayo imei zake ziko blacklisted hvyo haina network then mimi nichukue imei za cmu nyingine iliyokufa mfano nokia 1280 niziandike kwenye ile p5 ambayo iko blacklisted..
Nina sm ya tecno w1 nikitaka kupoga picha inazingua inaandika maneno haya. "Can't connect to the camera. Please make sure you close other apps that may use camera or flashlight". Hata baada ya kufunga hizo apps zingine naona bado iko ivoivo.
 
Nina sm ya tecno w1 nikitaka kupoga picha inazingua inaandika maneno haya. "Can't connect to the camera. Please make sure you close other apps that may use camera or flashlight". Hata baada ya kufunga hizo apps zingine naona bado iko ivoivo.
badilisha camera
 
Wakuu simu Yangu tecno c5 nikitaka kupakua app. Yoyote inaniambia haina nafasi ya kutosha ilihali external memory ni kubwa na ina nafasi pia ndio nimeiset kuhifadhi vitu
 
Matatizo makubwa yanasababishwa na

1. Battery
Battery ya simu inaweza ikawa imekufa au weak.
( ila unasema umeshabadilisha battery )

2. Simu kupata moto kupita kiasi / Over heating
Either kwasababu ya matatizo ya hardware au software simu inaweza ikawa inapata moto kupita kiasi na hivyo kupelekea kujizima ili iweze kupoa,

3. Applications kutokuwa compatable na hiyo simu.
Kuna baadhi ya apps ambazo zinahitaji root permission la sivyo operating system ina crash.

4. Rom kutokuwa compatable,
Kama uta flash either stock au custom rom ambayo siyo compatable inaweza ikawa sababu pia.

5. Hardware
Simu inaweza ikawa inatatizo la kiwandani au mother board yake kuwa na tatizo lililojitokea gafla.

6. Battery Terminal kuwa loose.
Inawezekana battery haijakaa vizuri katika sehemu yake hiyo kuwa loose na zile terminal za simu, hivyo katika mtingishiko kidogo simu inazima yenyewe.
Mkuu Calvin Power nashukuru kwa msaada wako na pia naomba usinichoke. Kufuatana na maelezo yako simu haipati over heating na la betri kutokuwa secure kwenye terminal na baada yakutingishika inaachia nadhani halipo kwa sababu hata ninapoiweka mezani kwenda kulala nikiamka nakuta imeshazimika.
Sijawahi kuiflash labda nili reset sasa sijui kama nikiiflash inaweza ikasadia.
Na je ninazitambuaje apps zinazohitaji root permission?.
Lakini pia baada ya watumiaji wengi wa toleo hili la Techno Y2 kukumbana na tatizo hili naanza kuhisi uenda ni tatizo la kiwandani.
 
Mkuu nina IPod apple ya touch nilitumiwa na mtu kutoka nje, sasa shida yake ni kua nashindea kuitumia inataka ID na password ya owner nifanyaje hapa, nafanyaje hapa, nimewasiliana na mhusika ananiambia yeye ameinunua hakujua, msaada plz,

KUMBUKA..SHARING IS CARING
 
Mkuu nina IPod apple ya touch nilitumiwa na mtu kutoka nje, sasa shida yake ni kua nashindea kuitumia inataka ID na password ya owner nifanyaje hapa, nafanyaje hapa, nimewasiliana na mhusika ananiambia yeye ameinunua hakujua, msaada plz,
tuma imei za hyo ipad yako
 
Back
Top Bottom