Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Habarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.

Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
habar, me nina shida kidogo hapa simu yangu ni huawei y520-u22 nlikua naitumia lakini ghafla tu ilijireboot na kustuck kwenye logo ya huawei na nikijaribu kufanya hard reset inafika sehemu inasema can't reach phone encrypted state, nikijaribu kuflash kwa sp flash pia inagoma.. msaada hapo nini cha kufanya
 
Huawei haiflashiwi kwa SP flash tool sababu hii tool ni kwa MediaTek devices tu kama tecno, mkuu huawei ni Qualcomm device so inaflashiwa kupitia recovery kwa file lake linalokua katka mfumo wa UPDATE.APP likiwa ndan ya folder li name "dload" afu weka kwenye memory card na kupitia recovery chagua "Update from SD card" kisha chagua file la "dload" then itaanza kuflash.....

NB; Tafuta flash file mtandaoni kulingana na model ya sim yako........
 
520 u22 ni mtk6572, so anawexa flash kwa sp ila huwa xina lcd error after flash so wakati wa flashing untick lk
 
Kweli kabsa mkuu nmefuatilia jana mtandaoni nikaona brand kubwa kubwa za sim zina custom ROMs nyingi sana zilizo modded na za kuvutia.
Yaah tena zinapata nougat na features zakutosha...
 
habari wana jamii forum.. nina simu yangu huawei y530 ilikuwa inafanya kazi vzr ila kwa sasa haionyeshi kabisa mtandao (network). yaani kwa maana hiyo sipatikani, mtu akinipigia hanipati hewani. nikitaka kutumia internet ni mpaka niconnect na wifi.. naomba kuuliza nawezaje kuirudisha ili iweze kuwa na networks.. asante
 
ina working imei?, piga *#06# then tuma imei ti 15090.. baseband ipo sawa au unknown?
 
ina working imei?, piga *#06# then tuma imei ti 15090.. baseband ipo sawa au unknown?
Mwamba mie nina simu yangu ya acer z500 liquid,ilikuwa vizuri tu sasa haisomi line zote isipokuwa halotel,na hiyo halotel ukiuliza salio inakwambia network not available,sijajua kuna tatizo gani. msaada tafadhali
 
s7 haina imei change option, hapo unajaribu kuwrite default efs, super imei na vyote vikigoma unahitaji certificate

Samsung wame-update security yao kuanzia Samsung S7 utakachoweza kufanya kwenye cert, ni kuandika ileile uliyo backup kwenye simu hiyohiyo na si cert tofauti na simu hiyo. Yaani ukiandika cert nitakayokuwa nime backup kutoka kwenye simu yangu, basi hutaweza kupata / register to network. Hakuna njia ya ku bypass CPID kwasasa. Ila Gurus are working on it.
CPID imekuwa locked na HWID. lazima cert imach na Hardware yake.
  • Ila wapo wanaofanya IMEI change online remotely, na sio kupitia haya mabox ( octopus, z3x, etc tec....) na ni kwa gharama kubwa sana.
 
Mimi na samsung S7 .. ilikuwa version 6..nikapelekea jamaa wa customer service pale kkoo waniweke version 7...cha kushangaza baada ya kufanya update simu yangu ikapoteza network na imei inayosoma nitofaut sio iliyopo kwenye simu...msaada please ..wamekaa na simu yangu mwezi sasa

Hollow D 007

Upo kwenye very difficult situation kwasasa, kwa uelewa wangu ni kuwa Samsung wamezuia mianya ya mtu kucheza na IMEI ya simu zao na huwa wanafanya kila wanapotoa toleo jipya.
  • Njia ya kurepair IMEI kwa kuandika Certificate kwenye samsung s7 na s7edge imekuwa na utata kwa sasa. Professional Tools developers, wengi wao wameondoa ile option baada ya kugundua kuwa Samsung wamezuia verification code. unaweza andika ile yake ya zamani kama ulifanya backup, na si vinginevyo.
  • Je walifanya backup ya IMEI zako? na kwasasa hiyo iliyokuwa "messed up" ambayo haishiki or not registed to network ni (35000....)
  • Kwenye Samsung s7/edge unaweza ukarepair IMEI kwa kuandika cert ambayo ita-match Baseband ID na IMEI.
mariifa zaidi yanahitajika
  1. Wajanja wanoweza au wanoshirikiana na watu wa Samsung database ( MSL ya simu yako )
  2. Namna ya kuweza kuchukua au kupata data za CPID kwenye simu yako kwa kutumia MSL
  3. Njia hii nayo sio rahisi ni ghali kidogo > Ukishapata CPID then Una-order cert zinazoendana na CPID ya simu yako ( cert hizi zitafanya kazi kwenye simu yako tu na sio tofauti na yako )
  4. Use AT commands, au any third part Tools kuandika certs zako.
Hapa nachoweza kuongezea ni : Its useless kununua au ku-exchange certs ambazo hazita-march na CPID za simu lengwa.

Thanks..so nani amesababisha hili tatizo maana b4 update simu yangu nilikuwa naitumia vzr...niwashtaki hawa customer service or??
 
habari naomba msaada simu yangu nilisahau password ipo locked nahitataji ku unlock aina ya simu LG-P970
 
Thanks..so nani amesababisha hili tatizo maana b4 update simu yangu nilikuwa naitumia vzr...niwashtaki hawa customer service or??
Issue yako ni rahisi sana kama hiyo computer waliyotumia ningeweza kuwa na access nayo. Vilevile sijajua walitumia professional tool aina gani? Most professional tools zinafanya security backup. So mostly likely kutakuwa na saved backup ya security data kwenye hiyo pc waliyotumia.

Kuhusu kuwashtaki, sidhani kama Kuna jinai hapo. Ilikuwa ni makubaliano. So hapo ni madai sio jinai. Anyway jaribu kuwauliza kama wanazo backup data za simu yako.
 
Kuna solution for this problem??
 
Kuna solution for this problem??
Yes ipo ila at a very high cost zaidi ya $100 . Na hapa nimekupa maelezo kulingana na nivyofahamu mimi. Ila some other gurus wanaweza kuwa na yakwao. Let's hear from them also.
 
Yes ipo ila at a very high cost zaidi ya $100 . Na hapa nimekupa maelezo kulingana na nivyofahamu mimi. Ila some other gurus wanaweza kuwa na yakwao. Let's hear from them also.
Its not my fault lakini..they need to fix my phone for their own cost..
 
Its not my fault lakini..they need to fix my phone for their own cost..

Hey ! D 007

Relax Mkuu

  • Point hapa sio kuwa push wakulipe, maana hawajafanya mistake makusudi. Ndio maana zikaitwa mistakes. Tatizo kama lako ndio nafasi ya kujifunza ili baadae wasiweze kufanya the same mistake.
  • Kama hutaki kusikia neno mistake, then ujue na wewe ni part ya hilo tatizo kutokea mwanzo. kwasababu ulitaka kupeleka android version ya juu wakati ilikuwa bado haijatoka kwenye region yako. hii ulikuwa una void warrant ya Samsung. hapa nitakuelezea kwa kutoa mfano:
Samsung S7 edge Exynos version (G935F). Product code SM-G935FZKAEGY ( Egyptian region )
Unakuta unasimu kama hiyo hapo juu na hupati OTA update, ukicheck inakuambia upo kwenye most current version. kwasababu ya region uliyonayo hawana update mpya, na ikitoka update mpya basi unaweza kupata OTA update. Maana updates zinategemea na product code ( EGY ) hawa jamaa hawana android version 7 na Product code (BTU ) ambayo ni United kingdom wanayo android 7. kwahiyo hapa unataka ku-switch kwenye region yenye update yaani firmware yenye update mpya, Product code (BTU ). Hapa utahitaji ku flash na kwa njia hii unakuwa ume void warrant ya Samsung. Kwahiyo wewe kama wewe kwa hili ulikuwa unafanya makosa, au ndie uliechangia makosa.
  • Hapa mimi nita-recommend a different approach. na sio kuwapa lawama za kukuharibia simu yako. Kaa nao chini uwaeleze jinsi gani tatizo limekuwa kubwa na gharama zilivyo, usione wanapata wateja wengi na wanalipwa ukadhani kuwa hela zote zinaingia mifukoni mwao, No kuna a lot of matatizo huwa yanatoke na hivyo hugaramia zingine, pana hapa na pale, so not all the money goes into their pockets.

Mwisho: Hapa wote wawili mmejifunza somo, Potelezea kama part of the risk na wao hawatarudia tena kosa. jaribu kuwaaproch kwa lugha nzuri japo wachangie gharama na at the end you will all be happy.

calvinpower2017
 
Join whatsapp group kwa link hapo juu tupeane skill and tricks for totally free.. Together we can, sharing is caring
mkuu kulikuwa na account moja ya 4shera kama sikosei ilikuwa INA app za kuflash simu naiomba kama bado upo nayo
 
Back
Top Bottom