honestly hakuna free cert na hata kama utapata itafanya kazi kwa muda mfupi sana.. FRP ni security ya android na ICLOUD ni security ya apple na zote huwa zinadai accounts zilizokuwa zinatumika... they are almost the same broUzi mzuri sana ila kuna baadhi unapotosha kidogo, nimeupitia jujuu mda huu, ila kwa kuanzia tu , sharing of cert na efs sio vizuri mkuu, na umesema icloud ni kama FRP , sio kweli mkuu FRP ni factory reset protection,
Tafuta memu ndo nzuritafuta kitu inaitwa NOX APP PLAYER
hiyo lazima utie firmware nyingine ambayo haijafungwaMkuu hizi tecno N8 zenye costumized firmware ya ule mtandao pendwa wa express u're self network lock yake tunaitoa vp nmetoka kujarbu hapa kwa crack ya nck box lakini imedunda!
principle ya cert ni one cert per one phone na utakapokuta free cert that means inatumiwa na wengi so ukubaliane na yatakayojiri. yeyote atakayetaka cert yenye uhakika yakupasa ununue... nina principle pia ofisini kwangu anapokuja mteja ntamuuliza kama anataka cert ya peke yake au ya kushare na ntampa maelezo ya zote mbili na cert ya peke yake ina gharama na ya kushare ni cheapHakuna free certs, je ni sahihi kushare certs? kwasababu wewe hapa ni mwalimu na ili watu waweze kuelewa ni lazima uwaeleweshe kuwa certs inabeba IMEI namba. sikatai kushare kutyoka nchi za nje, unaweza ukashare certs na mtu alieko UK. ila kwa hapahapa nchini sio kabisa,
Mkuu flashtools ni nn??KWA UHITAJI WA ROM YOYOTE, DRIVERS, FLASH TOOLS HASA CRACKS na TUTORIALS JUST ASK AND TUTASAIDIANA WERE POSSIBLE NA MSAADA HAPA NI TOTALLY FREE
Mkuu nina samsung note 3 imepoteza imeiur welcome
000000000000001ukipiga *#06# inaleta imei zipi?
cwezi kukupa cert ambayo nimefanya backup kutoka kwenye cmu yangu, kitendo cha mim kufanya backup na kuigawa mtandaoni ni kuiingiza cmu yangu kwenye majanga... kuna ambao hawana flash tools zenye server za kudownload repair contents.. naweza download cert kutoka server ya octopus au bst then nika share hapa na utakapopata cert ya bure utarajie majanga anytimeNafikiri hapa tunashindwa kuelewana kitu kimoja, Tanzania kwa Tanzania halafu tuwe tunashare certs? ingekuwa ni kwa kushare za nje ya nchi sawa, maana hapa ninasimu yangu yenye certs XXXXXXXX ni kupe wewe ambae upo hapa hapa TZ, kwesho na keshokutwa nimepotes simu yangu na nikaripoti police, wakianza kutrack IMEI namba si watakushika wewe? mimi nakataa kabisa suala la kushare IMEI zinazotumika hapa nchini, wewe hapa ni mwalimu halafu unafundisha nini kuhusu sharing of IMEI? TCRA wanapiga marufuku change of IMEI na hili lla cert nalo nipo kwenye same problem, kwasababu watu kama wewe wanawaambia watu wagawane certs, jaribu kuangalia IMEI inakuwa na simu kibao, moja ipo mwanza, nyingine ipo Moshi, nyingine dar, wewe huoni kwamba hapa pataleta shida?
Andaa material zako kaa uzipite vizuri halafu njoo fungua uzi fundisha vizuri, vile vile waelimishe watu kuhusu mabox na dongle na sio cracks and shits. Kuna watu wapo serious na wanaweza kujipanga achana na hao wanaopenda shotcuts
bt all in all thanks for the tip.. gona work on itNafikiri hapa tunashindwa kuelewana kitu kimoja, Tanzania kwa Tanzania halafu tuwe tunashare certs? ingekuwa ni kwa kushare za nje ya nchi sawa, maana hapa ninasimu yangu yenye certs XXXXXXXX ni kupe wewe ambae upo hapa hapa TZ, kwesho na keshokutwa nimepotes simu yangu na nikaripoti police, wakianza kutrack IMEI namba si watakushika wewe? mimi nakataa kabisa suala la kushare IMEI zinazotumika hapa nchini, wewe hapa ni mwalimu halafu unafundisha nini kuhusu sharing of IMEI? TCRA wanapiga marufuku change of IMEI na hili lla cert nalo nipo kwenye same problem, kwasababu watu kama wewe wanawaambia watu wagawane certs, jaribu kuangalia IMEI inakuwa na simu kibao, moja ipo mwanza, nyingine ipo Moshi, nyingine dar, wewe huoni kwamba hapa pataleta shida?
Andaa material zako kaa uzipite vizuri halafu njoo fungua uzi fundisha vizuri, vile vile waelimishe watu kuhusu mabox na dongle na sio cracks and shits. Kuna watu wapo serious na wanaweza kujipanga achana na hao wanaopenda shotcuts
Naomba jinsi ya ya kupata cert za kununua maana z3x bst zote azifanyi kazi kwa Simu kuanzia n900.cwezi kukupa cert ambayo nimefanya backup kutoka kwenye cmu yangu, kitendo cha mim kufanya backup na kuigawa mtandaoni ni kuiingiza cmu yangu kwenye majanga... kuna ambao hawana flash tools zenye server za kudownload repair contents.. naweza download cert kutoka server ya octopus au bst then nika share hapa na utakapopata cert ya bure utarajie majanga anytime
Poa poa mkuu pamoja ntakuchek mida.0717458447... nicheki ili uwe unantumia na image whatsapp km hutojali