Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

huwa wanafanya simu ina line mbili bt line yenye 3g/4g ni ya tigo pekee na huwa ni line namba moja na ukiweka line tofaut na tigo haitosoma au itakudai NCK.. kama hyo ndo case jst unafanya unlock.. au hyo yako ikoje?
Yap kwa hii simu inaonesha port zote zinasupport 4g/ 3g bt ukieka line tofauti na ya kwao kwenye kuselect network ili iwe 3g or 4g unakuta wameeka kivuli maana yake wamelock kwa hizo line nyingine..

Kwahiyo unaweza kuifix siyo
 
inafanyiwa tu unlock then unatumia all networks with 3g/4g...
 
Unatumia tool gank kwa kesi kama hiyo mkuu[emoji41] [emoji41] [emoji41]
nck, avenger, furious...... unahitaji flash box kufanya hyo kazi... cjajua km kuna crack inayoweza fanya hyo kazi
 
Wajuzi nimenunua Techno Y2 yapata kama miezi mitatu lakini baada ya siku chache ikaanza kujuzima,na ikizimika haiwaki tena mpaka uchomoe betri halafu uirudishie,niliporudi dukani wakanibadilishia betri nyingine lakini tatizo halikwisha.
Baada yakuwaulizia baadhi ya wamiliki wa simu Techno Y2 wengi wameniambia kuwa na wao wamekumbana na kadhia hii.
Wadau naomba msaada kuhusiana ña tatizo hili.
 
Nna Tecno H6 nahitaji kuiwekea ROM ya Yoyote ya Samsung yani naihitaji kuichange Tecno H6 to look like samsung, Is it Possible???

Just to look like samsung !!!!!!!

Its possible.
However if you need help, please let me know if i can be of further assistance.

kama hiyo rom ya samsung ni MTK, (ofcouse kuna samsung original zinazotumia MTK processors,)

Unahitaji ku extract system.img. na kubadislisha baadhi ya vitu kwenye system folder. Ila hakikisha chipset zinafanana. yaani kama hiyo simu yako chipset yake ni MT6589 basi zote ziwe MT6589.

Vitu muhimu vya kubadilshia.
*vendor
*usr
*modules
*hw
*libncurses.so
*firmware
*vold.fstab
*vold.fstab.nand
*bluetooth

Note: Try it at your own risk.

Niliwahi fanya hivyo long time kwenye H5. na kosa nililofanya sikurudishia original IMEI. ni kipindi kabla TCRA hawajaanza kufungia simu, Hiyo H5 ikawa kilakitu ni samsung. mwenye simu aliipendelea sana, Ila wakati TCRA wanafungia simu na yake ikawa miongoni akaipeleka kwa fundi wakamwambia alipie maana ni feki, moja kwa moja akaenda kunishatki police kuwa nilimbadilishia simu maana yake haikuwa samsung.
 
Wajuzi nimenunua Techno Y2 yapata kama miezi mitatu lakini baada ya siku chache ikaanza kujuzima,na ikizimika haiwaki tena mpaka uchomoe betri halafu uirudishie,niliporudi dukani wakanibadilishia betri nyingine lakini tatizo halikwisha.
Baada yakuwaulizia baadhi ya wamiliki wa simu Techno Y2 wengi wameniambia kuwa na wao wamekumbana na kadhia hii.
Wadau naomba msaada kuhusiana ña tatizo hili.

Matatizo makubwa yanasababishwa na

1. Battery
Battery ya simu inaweza ikawa imekufa au weak.
( ila unasema umeshabadilisha battery )

2. Simu kupata moto kupita kiasi / Over heating
Either kwasababu ya matatizo ya hardware au software simu inaweza ikawa inapata moto kupita kiasi na hivyo kupelekea kujizima ili iweze kupoa,

3. Applications kutokuwa compatable na hiyo simu.
Kuna baadhi ya apps ambazo zinahitaji root permission la sivyo operating system ina crash.

4. Rom kutokuwa compatable,
Kama uta flash either stock au custom rom ambayo siyo compatable inaweza ikawa sababu pia.

5. Hardware
Simu inaweza ikawa inatatizo la kiwandani au mother board yake kuwa na tatizo lililojitokea gafla.

6. Battery Terminal kuwa loose.
Inawezekana battery haijakaa vizuri katika sehemu yake hiyo kuwa loose na zile terminal za simu, hivyo katika mtingishiko kidogo simu inazima yenyewe.
 
Unatumia tool gank kwa kesi kama hiyo mkuu[emoji41] [emoji41] [emoji41]

Kama unataka ku unlock simu yako, basi kuna njia nyingi za ku unlock. Nakupa 1,2, ....

1. Kupeleka kwa mafundi wa ku unlock.
Unaweza ipeleka kwa mafundi wa ku unlock, (nafikiri hata hapa JF wapo Kuna 2991, Njunwa Wamavoko etc etc ...)
Maduka yanayouza smart phone siku hizi yanakuwa na mafundi pia , au yeyote utakaependezwa na. Wata kucharge kiasi kidogo cha pesa.

2. Kuifanya mwenyewe.
Unaweza kufanya mwenyewe kwa kuagiza unlock codes, au kwa kutumia special data cable ( micro usb kama sikosei )
na software. Ila utahitaji kuwa na uelewa mpana kwenye hili. maana sio software yoyote tu, bali special software either inakuwa na Box au Dongle.
 
Just to look like samsung !!!!!!!

Its possible.
However if you need help, please let me know if i can be of further assistance.

kama hiyo rom ya samsung ni MTK, (ofcouse kuna samsung original zinazotumia MTK processors,)

Unahitaji ku extract system.img. na kubadislisha baadhi ya vitu kwenye system folder. Ila hakikisha chipset zinafanana. yaani kama hiyo simu yako chipset yake ni MT6589 basi zote ziwe MT6589.

Vitu muhimu vya kubadilshia.
*vendor
*usr
*modules
*hw
*libncurses.so
*firmware
*vold.fstab
*vold.fstab.nand
*bluetooth

Note: Try it at your own risk.

Niliwahi fanya hivyo long time kwenye H5. na kosa nililofanya sikurudishia original IMEI. ni kipindi kabla TCRA hawajaanza kufungia simu, Hiyo H5 ikawa kilakitu ni samsung. mwenye simu aliipendelea sana, Ila wakati TCRA wanafungia simu na yake ikawa miongoni akaipeleka kwa fundi wakamwambia alipie maana ni feki, moja kwa moja akaenda kunishatki police kuwa nilimbadilishia simu maana yake haikuwa samsung.
Huyo mteja kiboko sio mchezo. Na kama alipata hyo simu basi ni kipndi cha msimu
 
Mkuu Nina tekno N8 ya tigo vipi inawezekana Ku unlock iingize laini tofauti tofauti
 
Mkuu Nina tekno N8 ya tigo vipi inawezekana Ku unlock iingize laini tofauti tofauti
Inatoka vizur kabisa, ila si kwa unlock code.

Lazima iwepo physically au ifanyiwe kazi remotely

Upo mkoa gani? Au nitext via 0656400654
 
Habarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.

Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
Mimi nataka nijue nini kinahitajika kufungua iPhone yenye icloud lock ili atumie mtu mwengine,msaada!
 
Back
Top Bottom