salum bonge2014
Member
- Feb 17, 2014
- 16
- 6
Wadau nina samsung j7 kil Nikfnya komand kama mpesa salio au kusoma imei inaandka not registerd to the network shida inaeza kuwa n nn wadsu nawasilisha
Hujajieleza vizuri je simu zinaingia na kutokaWadau nina samsung j7 kil Nikfnya komand kama mpesa salio au kusoma imei inaandka not registerd to the network shida inaeza kuwa n nn wadsu nawasilisha
angalia imei km zipo km zipo angalia km zipo active/salama kwakutuma TCRA 15090Hapana kaka yaan ukiwasha netwoek inaoneakana but ukifanya kupiga inaandka not regstered to the netwok haikubali comand yeyote
*#06# zikitokea tarakimu zitume kwenda no 15090 huko ni TCRA watakupa jibu zuriU mean nigeuze zile za nyuma si ndio
Wadau nina samsung j7 kil Nikfnya komand kama mpesa salio au kusoma imei inaandka not registerd to the network shida inaeza kuwa n nn wadsu nawasilisha
Shukran mkuu.Kwa kifupi hapa nitaelezea namna unavyoweza kurekebisha tatizo lako au hata wengine wenye simu za samsung ( android version ) maana ni tatizo la hizi simu kwa wengi sana.
Tatizo ni pale unapotaka kupiga simu na unapata ujumbe huu : “NOT REGISTERED ON NETWORK.” hapa siongelei ujumbe wa :"Mobile network not available" kwa maana Ujumbe wa Not registered on network unamaanisha kwamba simu yako ina service na unaweza kupiga simu Emergency calls only kama police, fire, ila huwezi piga simu tofauti na Emergency calls.
NOT REGISTERED ON NETWORK:
Sababu kubwa ya kupata neno NOT REGISTERED ON NETWORK ni pale mtandao wako au mtoa huduma wako anashindwa kuitambua au kuiruhusu IMEI namba za simu yako, mfano 0000000000000, au inayoanza na 0049XXXXXXXX, 3500000000000006 au NULL
Kwahiyo check IMEI kwa kubofya *#06# na uangalie kama imei zako ni fake kama zilizopo hapo juu, na kama ni hizo hapo juu basi mpelekee fundi ataweza kurapir IMEI na zitarudi zile za mwanzo ( original IMEI )
Sababu nyingine ya kupata neno NOT REGISTERED ON NETWORK, ni IMEI namba zako kuwa blacklisted na TCRA. Ku-blacklist kwa maana nyingine TCRA wameifungia IMEI namba zako kwasababu ambazo pengine wewe huzijui
Kwa suala kama hili hutokuwa na chaguo lolote zaidi ya kufuata yafuatayo
Sababu nyingine ya kupata neno NOT REGISTERED ON NETWORK inaweza ikatatuliwa kirahisi kama sio matatizo ya hapo juu, Nitaelezea machache ila wengine wanaweza changia ya ziada kulingana na wao walivyotatua za kwao.
- Nenda Polisi na ukaripoti aliekuuzia hiyo simu( maana inaweza ikawa ya wizi au au imehusishwa na tukio )
- Wasiliana na aliekuuzia ili akurudishie hela zako
- Badilisha IMEI namba za hiyo simu ( kwa hapa kwetu hairuhusiwi )
- Kaiuze nje ya nchi.
1. kwanza nenda kwenye :Settings.
2. Halafu nenda kwenye : Wireless and Networks or Network connections.
3. Halafu bofya: More networks → Mobile Networks (Ukiona hujapata Mobile Netrwoks basi utabofya tena More Settings halafu uta search na uweze kupata "Mobile networks").
View attachment 509013
4. Sasa bofya Networks operators.
View attachment 509016
5. Ikisha search itakuletea mitandao ya simu iliyopo TZ, Basi unachagua kulingana na line unayotumia ( kama ni Vodacom, TiGo, AirTel,Halotel, etc.)
Mpaka hapa nafkiri tatizo litakuwa limekisha,
Ukiona bado tatizo lipo basi rekebisha kidogo hapa:
Kwenye Mobile Networks, chagua Network mode as WCDMA only halafu zima na kuwasha simu yako na urudie maelekezo ya hapo juu.
Nokia lazima uwe na nokia Flashing tools japo kuna nokia Asha 500 na nokia 500 files zake ziko tofauti nokia 500 unatumia RM-750 ambapo nokia Asha 500 ni rm-934 nokia 500 belle ni RM-750Shukran mkuu.
Nahitaji kuflash simu yangu ya Nokia 500 belle.
Naomba maelekezo
Shukuran mkuu. Naweza kuflash kwa njia ya computer?Nokia lazima uwe na nokia Flashing tools japo kuna nokia Asha 500 na nokia 500 files zake ziko tofauti nokia 500 unatumia RM-750 ambapo nokia Asha 500 ni rm-934 nokia 500 belle ni RM-750
kwanjia ya computer lakini lazima uwe na box ama Nokia dongle ambapo ni aghali bora uende kwa fundiShukuran mkuu. Naweza kuflash kwa njia ya computer?
Km inawezekana je natakiwa kuwa na program gani?
NOKIA 500 BELLE REFLESH RM 750
thanks in advance
Hiyo inaitwa frp ndiyo habari ya mjini 'Factory reset private security'ajeee....ivi android unayoi eipe factor reset ama kurestore endapo ukifanya hivyo na baadaye ikawa inataka email ya awali ama yakwanza kuwekwa kwenye simu na ukijikuta email hauijui unafanyaje kusolve tatizo hilo ili kuiweka sawa yaanivikubali kuingia email nyingine na si ya mwanzo?
kwa hyo ni ngumuHiyo inaitwa frp ndiyo habari ya mjini 'Factory reset private security'
Usipo taja aina ya simu tunakupotezeakwa hyo ni ngumu
tecno w....mkuuUsipo taja aina ya simu tunakupotezea
Jifanye kutaja kwa Mapozi ndo utakaliwa kimya mpaka miaka yotetecno w....mkuu