Tunaenda Kondo kuujua ukweli

Uko na point kiasi sema tu hujui kiandika au hauko makini kuliko hata hao wapinzani unaowaita zaifu(dhaifu).
 
Linanasa vizuri tu na hata wakifukua watajulikana
Qu1: inamaana walipokuwa wanaandaa hilo kaburi hawakuonekana au wakazi wa hapo hawakuona wala kusikia activities hapo?
2. Aise wamefanya uzembe sana kama ni kweli. Why kondo? Karibu sana hapo na ni populated sana ,RISKYYY. wale waliokuwa wanasema wamezika mkuranga nje huko atleast
 
Kazi haiwezi kufanyika asubuhi, usiku wa manane, watu wengi wamelala
 
Kwa hivyo unahisi watu wanakuwa eliminated ile wanasema tying loose ends?
Au walishambuliwa kwenye maandamano ya 29/10?
 
Jana nilipatembela hapo Kuna ulinzi mkali sana na malori wanataka kufukua wafute ushahidi
 
Una hoja nzuri.
Tatizo lako ni uwasilishaji!!

Unawasilisha hoja kwa matus,i dharau, kejeli na pia kujiona wewe sio miongoni mwa watanzania tunaoumizwa na uongozi mbovu wa ccm.
Kwa aina hiyo ya uwasilishaji inamaanisha HUNA BUSARA.
 
Respect. Bado una nafasi ya kujaribu, sio mzigo wa fulani tu.
 
Kazi ilifanywa usiku kipindi cha lockdown hakuna mtu kutoka nje usiku
 
Una hoja nzuri.
Tatizo lako ni uwasilishaji!!

Unawasilisha hoja kwa matus,i dharau, kejeli na pia kujiona wewe sio miongoni mwa watanzania tunaoumizwa na uongozi mbovu wa ccm.
Kwa aina hiyo ya uwasilishaji inamaanisha HUNA BUSARA.
NIKWELI BUSARA HUWA SINA ILA KWENYE AKILI HAPO NIMEJAA TELE ...BUSARA BILA YA AKILI = NA UPUMBAVU
 
Wee acha uongo, miili inakaa miaka na haiharibiki sana, sembuse week 3??
Sema harufu yake sio ya kiwango hicho.
Mmmmh
 
Watakwa wameanza kuuana ili kulinda siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…