Tunaenda Kondo kuujua ukweli

Tunaenda Kondo kuujua ukweli

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,280
Reaction score
38,855
Habari wakuu.

Tunaelekea Kondo maeneo ya kati ya Tegeta Kibaoni na Bahari beach.

Lengo letu ni kuhakikisha tunaujua ukweli juu ya taarifa tuliyopata ambayo hata hivyo tunaamini kuwa ni taarifa ya kweli kimazingira. Tunaenda kuthibitisha na kuweka wazi kila kitu.

Tumedhamiria kukabiliana vilivyo na vizuizi viatakavyojitokeza kutuzuia na kwa dhati tumejipanga kukabiliana

Tukutane Kondo ground na taarifa zitatoka alfajiri ya kesho!!
 
Safi kabisa mkuu, Mimi Niko Lindi , nashauri watu wengi tukusanyike hapo kulinda eneo ili CCM na wahuni wengine wasifanye hujuma.

Pia wananchi wajitoe kwa michango ya chakula na maji ili kuwasaidia wanaolinda wasiondoke kwenda nyumbani kupata chakula na mahitaji muhimu.

Niko tayari kuchangia chochote kitu ili kukwamisha uhuni wa CCM
 
Habari wakuu.

Tunaelekea Kondo maeneo ya kati ya Tegeta Kibaoni na Bahari beach.

Lengo letu ni kuhakikisha tunaujua ukweli juu ya taarifa tuliyopata ambayo hata hivyo tunaamini kuwa ni taarifa ya kweli kimazingira. Tunaenda kuthibitisha na kuweka wazi kila kitu.

Tumedhamiria kukabiliana vilivyo na vizuizi viatakavyojitokeza kutuzuia na kwa dhati tumejipanga kukabiliana

Tukutane Kondo ground na taarifa zitatoka alfajiri ya kesho!!
IMG-20251121-WA0044.jpg
 
Oya kuna askari kama mia mbili hivi asee
 
Nimesikia polisi wamemwagwa pale sasa utatuhabarisha! Ila angalieni msije mkamwagiwa mvua za risasi za moto! Serikali hii haisiti kuua mtu!
 
Habari wakuu.

Tunaelekea Kondo maeneo ya kati ya Tegeta Kibaoni na Bahari beach.

Lengo letu ni kuhakikisha tunaujua ukweli juu ya taarifa tuliyopata ambayo hata hivyo tunaamini kuwa ni taarifa ya kweli kimazingira. Tunaenda kuthibitisha na kuweka wazi kila kitu.

Tumedhamiria kukabiliana vilivyo na vizuizi viatakavyojitokeza kutuzuia na kwa dhati tumejipanga kukabiliana

Tukutane Kondo ground na taarifa zitatoka alfajiri ya kesho!!
Wenye uwezo wa kupata camera waziweke kwenye miti. Hilo eneo lina ushahidi muhimu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom