Tunaelekea kuwa taifa la kike la mfano duniani

Hee! Kumbe nawe akili kama zake au ndio mwenyewe?
Unashindwa kujua kuwa Bunge ndio chombo kikuu cha maamuzi?
Ni wajinga tuu wasio jua hilo ndio maana wanaweza kupeleka wawakilishi kama Msukuma au Kibajaji. Hawajui nguvu ya bunge wakidhani ni kupiga makofi tuu
Man,

Nadhani umesahau jinsi katiba yetu ilivyompa rais MAGUVU yasiyopimika!!

Na hata hilo bunge wala sio chombo kikuu cha maamuzi...

Ibara ya 4 inataja VYOMBO VITATU vilivyopewa MAMLAKA ya kutekeleza shughuli za NCHI, navyo ni:-

1. SERIKALI... hii imepewa MAMLAKA YA UTENDAJI,
2. BUNGE... Hili limepewa MAMLAKA ya KUTUNGA SHERIA NA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI wa shughuli za umma.
3. MAHAKAMA... Hii imepewa MAMLAKA YA KUTEKELEZA utoaji haki.

Kwahiyo Bunge ni CHOMBO KIKUU cha Kutunga Sheria na Kusimamia Utekelezaji wa Shughuli za Umma!!

Na ndo maana katika huko kusimamia utekelezaji wa shughuli za umma, ndipo unakuta kuna kamati kadhaa zinazoenda kwenye taasisi kadhaa za serikali kwa gia ya kusimamia utekelezaji wa shughuli za umama lakini wanaishia kugawana posho tu na kuhongwa ili wafiche uozo wanaokuta huko!

Ushawahi kusikia Kamati X imetinga Ikulu kuhoji hili na lile?!

Sasa kutokana na mamlaka ya kila chombo kama ilivyokuwa summarized hapo juu, ndipo inakuja dhana ya MIHIMILI MITATU ya nchi ambayo haipaswi kuingiliana wakati wa kutekeleza mamlaka zao walizopewa na Ibara ya 4(2)!

Kwamba, sawa kiongozi wa serikali ni RAIS! TAASISI YA URAISI inaweza kuwa imejaa MAGWIJI TUPU WA SHERIA, tena waliobobea huku Rais mwenyewe akiwa Harvard Graduate wa LLB, LLM na PhD in Law!!

Lakini pamoja na kuwa na MANGULI WA SHERIA, bado HAMUWEZI kukutana Ikulu na kuanza Kutunga Sheria hata kama uwezo huo mnao kwa sababu MAMLAKA ya Kutunga Sheria ipo mikononi mwa Bunge!

Wewe Rais, na Serikali yako iliyojaa MAGWIJI WA SHERIA kazi yenu inatakiwa kubaki kwenye UTENDAJI, kwa sababu hayo ndiyo MAMLAKA mliyopewa na katiba!!

HALI KADHALIKA, nanyi Bunge, Wabunge wenu WOTE wanaweza kuwa MAHAKIMU NA MAJAJI WASTAAFU na pia MAWAKILI NGULI kama Tundu Lissu kiasi kwamba, mnaweza KUTUNGA SHERIA wenyewe na kisha mkakaa wenyewe kama Mahakimu na Mawakili ili kuanza kuhukumu watu...

CONGRATULATION kwa kuwa na Bunge with such Strong Legal Background but please, hamna MAMLAKA ya kutoa haki kwa sababu Mamlaka hayo yapo invested kwa Mahakama, hata kama Mahakimu wote wamesoma Agriculture and Agronomy, lakini ndo hao waliopewa MAMLAKA kutoa haki!

Ibara ya 4(2) yenyewe inasema:-
Vyombo vyenye mamlaka ya utendaji vitakuwa ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, vyombo vyenye mamlaka ya kutekeleza utoaji haki vitakuwa ni Idara ya Mahakama ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Idara ya Mahakama ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, na vyombo vyenye mamlaka ya kutunga sheria na kusimamia utekelezaji wa shughuli za umma vitakuwa ni Bunge na Baraza la Wawakilishi.
Tena ona sasa...

Wabunge huko bungeni tukananeni, tuonaneni macho na meno ili kuhakikisha sheria fulani inapita lakini bado sheria hiyo hiyo haiwi sheria hadi upite mkono wa Rais ambae si ajabu ndo kwanza alikuwa anasuka wakati mnatoana meno! WHY? Kwa sababu Ibara ya 62(1) inasema Bunge litakuwa na sehemu 2, ambayo ni Wabunge na Rais!!

Na 62(3) inasema endapo jambo LOLOTE kinahitaji kuamuliwa na pande 2 basi HALITAHESABIKA kwamba limeamuliwa au kutekelezwa ipasavyo hadi Wabunge na Rais WOTE wamehusika kwenye maamuzi/utekelezaji wa suala husika!

Lakini pamoja na mgawanyo huo wa madaraka, mwishowe kwenye Ibara ya 33(2) wanapigilia msumali kwamba:-
Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.
REMEMBER, tulivyotaja hapo juu ni VYOMBO vilivyopewa MAMLAKA YA KUTEKELEZA shughuli za nchi, ambayo mkuu wake ni Rais! Kwani tunaposema Rais amepewa MAGUVU MAKUBWA MNO unadhani msingi wake ni upi?! Of course, kwa mfano Rais HANA MAMLAKA ya moja kwa moja ya KUMFUTA KAZI JAJI hata kama amemteua mwenyewe!

Lakini MABAVU aliyokuwa nayo Rais, anaweza kumwita Jaji Ofisini, na AKAMLAZIMISHA ajiuzulu na JAJI akaishia kujiuzulu lakini akitoka nje atasema amestaafu kutokana na hili au lile, huku msingiziwaji wa kwanza akiwa "ugonjwa"!

Halafu ngoja... unajua mimi sio mbunge, na nilishaacha mambo ya kufuatilia bunge kwahiyo hata taratibu zao wala sifahamu ! Labda wewe Chakaza, au Mkongwe JokaKuu, kama sio ndugu yangu MALCOM LUMUMBA, au hata Mwanahabari Nguli, msomi wa sheria Ndugu Pascal Mayalla...

Naombeni mnitoe tongotongo kwenye hii FLAG ya MAMLAKA ya Bunge Kutunga Sheria!!

Hivi hawa jamaa huwa wanatunga Sheria kweli au huwa wanajadili na ku-endorse Sheria ZILIZOTUNGWA na Serikali?! Kila nikijaribu kupima ni miswada mingapi kutoka serikalini HUKATALIWA bungeni, na mingapi HUKUBALIWA, nabaki kujiuliza hivi ni nani hasa anayeweza kujigamba kwamba ndie mwenye MAMLAKA ya kutunga Sheria...

Mchakato unakuaje? Au first drafts huwa zinaanzia na brainstorming ya kamati husika za bunge?
 
Man,

Nadhani umesahau jinsi katiba yetu ilivyompa rais MAGUVU yasiyopimika!!

Na hata hilo bunge wala sio chombo kikuu cha maamuzi...

Ibara ya 4 inataja VYOMBO VITATU vilivyopewa MAMLAKA ya kutekeleza shughuli za NCHI, navyo ni:-

1. SERIKALI... hii imepewa MAMLAKA YA UTENDAJI,
2. BUNGE... Hili limepewa MAMLAKA ya KUTUNGA SHERIA NA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI wa shughuli za umma.
3. MAHAKAMA... Hii imepewa MAMLAKA YA KUTEKELEZA utoaji haki.

Kwahiyo Bunge ni CHOMBO KIKUU cha Kutunga Sheria na Kusimamia Utekelezaji wa Shughuli za Umma!!

Na ndo maana katika huko kusimamia utekelezaji wa shughuli za umma, ndipo unakuta kuna kamati kadhaa zinazoenda kwenye taasisi kadhaa za serikali kwa gia ya kusimamia utekelezaji wa shughuli za umama lakini wanaishia kugawana posho tu na kuhongwa ili wafiche uozo wanaokuta huko!

Ushawahi kusikia Kamati X imetinga Ikulu kuhoji hili na lile?!

Sasa kutokana na mamlaka ya kila chombo kama ilivyokuwa summarized hapo juu, ndipo inakuja dhana ya MIHIMILI MITATU ya nchi ambayo haipaswi kuingiliana wakati wa kutekeleza mamlaka zao walizopewa na Ibara ya 4(2)!

Kwamba, sawa kiongozi wa serikali ni RAIS! TAASISI YA URAISI inaweza kuwa imejaa MAGWIJI TUPU WA SHERIA, tena waliobobea huku Rais mwenyewe akiwa Harvard Graduate wa LLB, LLM na PhD in Law!!

Lakini pamoja na kuwa na MANGULI WA SHERIA, bado HAMUWEZI kukutana Ikulu na kuanza Kutunga Sheria hata kama uwezo huo mnao kwa sababu MAMLAKA ya Kutunga Sheria ipo mikononi mwa Bunge!

Wewe Rais, na Serikali yako iliyojaa MAGWIJI WA SHERIA kazi yenu inatakiwa kubaki kwenye UTENDAJI, kwa sababu hayo ndiyo MAMLAKA mliyopewa na katiba!!

HALI KADHALIKA, nanyi Bunge, Wabunge wenu WOTE wanaweza kuwa MAHAKIMU NA MAJAJI WASTAAFU na pia MAWAKILI NGULI kama Tundu Lissu kiasi kwamba, mnaweza KUTUNGA SHERIA wenyewe na kisha mkakaa wenyewe kama Mahakimu na Mawakili ili kuanza kuhukumu watu...

CONGRATULATION kwa kuwa na Bunge with such Strong Legal Background but please, hamna MAMLAKA ya kutoa haki kwa sababu Mamlaka hayo yapo invested kwa Mahakama, hata kama Mahakimu wote wamesoma Agriculture and Agronomy, lakini ndo hao waliopewa MAMLAKA kutoa haki!

Ibara ya 4(2) yenyewe inasema:-

Tena ona sasa...

Wabunge huko bungeni tukananeni, tuonaneni macho na meno ili kuhakikisha sheria fulani inapita lakini bado sheria hiyo hiyo haiwi sheria hadi upite mkono wa Rais ambae si ajabu ndo kwanza alikuwa anasuka wakati mnatoana meno! WHY? Kwa sababu Ibara ya 62(1) inasema Bunge litakuwa na sehemu 2, ambayo ni Wabunge na Rais!!

Na 62(3) inasema endapo jambo LOLOTE kinahitaji kuamuliwa na pande 2 basi HALITAHESABIKA kwamba limeamuliwa au kutekelezwa ipasavyo hadi Wabunge na Rais WOTE wamehusika kwenye maamuzi/utekelezaji wa suala husika!

Lakini pamoja na mgawanyo huo wa madaraka, mwishowe kwenye Ibara ya 33(2) wanapigilia msumali kwamba:-

REMEMBER, tulivyotaja hapo juu ni VYOMBO vilivyopewa MAMLAKA YA KUTEKELEZA shughuli za nchi, ambayo mkuu wake ni Rais! Kwani tunaposema Rais amepewa MAGUVU MAKUBWA MNO unadhani msingi wake ni upi?! Of course, kwa mfano Rais HANA MAMLAKA ya moja kwa moja ya KUMFUTA KAZI JAJI hata kama amemteua mwenyewe!

Lakini MABAVU aliyokuwa nayo Rais, anaweza kumwita Jaji Ofisini, na AKAMLAZIMISHA ajiuzulu na JAJI akaishia kujiuzulu lakini akitoka nje atasema amestaafu kutokana na hili au lile, huku msingiziwaji wa kwanza akiwa "ugonjwa"!

Halafu ngoja... unajua mimi sio mbunge, na nilishaacha mambo ya kufuatilia bunge kwahiyo hata taratibu zao wala sifahamu ! Labda wewe Chakaza, au Mkongwe JokaKuu, kama sio ndugu yangu MALCOM LUMUMBA, au hata Mwanahabari Nguli, msomi wa sheria Ndugu Pascal Mayalla...

Naombeni mnitoe tongotongo kwenye hii FLAG ya MAMLAKA ya Bunge Kutunga Sheria!!

Hivi hawa jamaa huwa wanatunga Sheria kweli au huwa wanajadili na ku-endorse Sheria ZILIZOTUNGWA na Serikali?! Kila nikijaribu kupima ni miswada mingapi kutoka serikalini HUKATALIWA bungeni, na mingapi HUKUBALIWA, nabaki kujiuliza hivi ni nani hasa anayeweza kujigamba kwamba ndie mwenye MAMLAKA ya kutunga Sheria...

Au first drafts huwa zinaanzia na brainstorming ya kamati husika za bunge?
Kasome tena mchakato wa kutunga sheria utaelewa nani haswa anaetunga sheria.... usipende kuandika maandishi mengi yasiyo na points
 
Umeelewa nilichoandika, au umekurupuka tu?! Umesoma hapo nilipowa-tag watu? VERY STUPID
 
Naam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.

Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?

Tunawapa six month on probation
Uganda,Rwanda na Msumbiji ni Nchi ambazo zina wanawake wengi kwenye ngazi za juui za maamuzi kuliko Nchi zingine za Afrika.

Je tumewazidi kwa lipi hasa? Je wamefeli?..

Wanaume acheni woga ,saizi Wanawake/ mabinti wanakimbiza kote kote si kwenye elimu wala biashara.
 
Nafikiri ni ngumu kunielewa. Unazijua products za UWT?
Ukishazifahamu products za UWT zinakuwaje ndio utakapoona hofu yangu iko wapi.
Please usipanic fuatilia na wewe hofu hiyo itakuingia
Dadavua, uko vema kabisa, nakuunga mkono.
 
Man,

Nadhani umesahau jinsi katiba yetu ilivyompa rais MAGUVU yasiyopimika!!

Na hata hilo bunge wala sio chombo kikuu cha maamuzi...

Ibara ya 4 inataja VYOMBO VITATU vilivyopewa MAMLAKA ya kutekeleza shughuli za NCHI, navyo ni:-

1. SERIKALI... hii imepewa MAMLAKA YA UTENDAJI,
2. BUNGE... Hili limepewa MAMLAKA ya KUTUNGA SHERIA NA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI wa shughuli za umma.
3. MAHAKAMA... Hii imepewa MAMLAKA YA KUTEKELEZA utoaji haki.

Kwahiyo Bunge ni CHOMBO KIKUU cha Kutunga Sheria na Kusimamia Utekelezaji wa Shughuli za Umma!!

Na ndo maana katika huko kusimamia utekelezaji wa shughuli za umma, ndipo unakuta kuna kamati kadhaa zinazoenda kwenye taasisi kadhaa za serikali kwa gia ya kusimamia utekelezaji wa shughuli za umama lakini wanaishia kugawana posho tu na kuhongwa ili wafiche uozo wanaokuta huko!

Ushawahi kusikia Kamati X imetinga Ikulu kuhoji hili na lile?!

Sasa kutokana na mamlaka ya kila chombo kama ilivyokuwa summarized hapo juu, ndipo inakuja dhana ya MIHIMILI MITATU ya nchi ambayo haipaswi kuingiliana wakati wa kutekeleza mamlaka zao walizopewa na Ibara ya 4(2)!

Kwamba, sawa kiongozi wa serikali ni RAIS! TAASISI YA URAISI inaweza kuwa imejaa MAGWIJI TUPU WA SHERIA, tena waliobobea huku Rais mwenyewe akiwa Harvard Graduate wa LLB, LLM na PhD in Law!!

Lakini pamoja na kuwa na MANGULI WA SHERIA, bado HAMUWEZI kukutana Ikulu na kuanza Kutunga Sheria hata kama uwezo huo mnao kwa sababu MAMLAKA ya Kutunga Sheria ipo mikononi mwa Bunge!

Wewe Rais, na Serikali yako iliyojaa MAGWIJI WA SHERIA kazi yenu inatakiwa kubaki kwenye UTENDAJI, kwa sababu hayo ndiyo MAMLAKA mliyopewa na katiba!!

HALI KADHALIKA, nanyi Bunge, Wabunge wenu WOTE wanaweza kuwa MAHAKIMU NA MAJAJI WASTAAFU na pia MAWAKILI NGULI kama Tundu Lissu kiasi kwamba, mnaweza KUTUNGA SHERIA wenyewe na kisha mkakaa wenyewe kama Mahakimu na Mawakili ili kuanza kuhukumu watu...

CONGRATULATION kwa kuwa na Bunge with such Strong Legal Background but please, hamna MAMLAKA ya kutoa haki kwa sababu Mamlaka hayo yapo invested kwa Mahakama, hata kama Mahakimu wote wamesoma Agriculture and Agronomy, lakini ndo hao waliopewa MAMLAKA kutoa haki!

Ibara ya 4(2) yenyewe inasema:-

Tena ona sasa...

Wabunge huko bungeni tukananeni, tuonaneni macho na meno ili kuhakikisha sheria fulani inapita lakini bado sheria hiyo hiyo haiwi sheria hadi upite mkono wa Rais ambae si ajabu ndo kwanza alikuwa anasuka wakati mnatoana meno! WHY? Kwa sababu Ibara ya 62(1) inasema Bunge litakuwa na sehemu 2, ambayo ni Wabunge na Rais!!

Na 62(3) inasema endapo jambo LOLOTE kinahitaji kuamuliwa na pande 2 basi HALITAHESABIKA kwamba limeamuliwa au kutekelezwa ipasavyo hadi Wabunge na Rais WOTE wamehusika kwenye maamuzi/utekelezaji wa suala husika!

Lakini pamoja na mgawanyo huo wa madaraka, mwishowe kwenye Ibara ya 33(2) wanapigilia msumali kwamba:-

REMEMBER, tulivyotaja hapo juu ni VYOMBO vilivyopewa MAMLAKA YA KUTEKELEZA shughuli za nchi, ambayo mkuu wake ni Rais! Kwani tunaposema Rais amepewa MAGUVU MAKUBWA MNO unadhani msingi wake ni upi?! Of course, kwa mfano Rais HANA MAMLAKA ya moja kwa moja ya KUMFUTA KAZI JAJI hata kama amemteua mwenyewe!

Lakini MABAVU aliyokuwa nayo Rais, anaweza kumwita Jaji Ofisini, na AKAMLAZIMISHA ajiuzulu na JAJI akaishia kujiuzulu lakini akitoka nje atasema amestaafu kutokana na hili au lile, huku msingiziwaji wa kwanza akiwa "ugonjwa"!

Halafu ngoja... unajua mimi sio mbunge, na nilishaacha mambo ya kufuatilia bunge kwahiyo hata taratibu zao wala sifahamu ! Labda wewe Chakaza, au Mkongwe JokaKuu, kama sio ndugu yangu MALCOM LUMUMBA, au hata Mwanahabari Nguli, msomi wa sheria Ndugu Pascal Mayalla...

Naombeni mnitoe tongotongo kwenye hii FLAG ya MAMLAKA ya Bunge Kutunga Sheria!!

Hivi hawa jamaa huwa wanatunga Sheria kweli au huwa wanajadili na ku-endorse Sheria ZILIZOTUNGWA na Serikali?! Kila nikijaribu kupima ni miswada mingapi kutoka serikalini HUKATALIWA bungeni, na mingapi HUKUBALIWA, nabaki kujiuliza hivi ni nani hasa anayeweza kujigamba kwamba ndie mwenye MAMLAKA ya kutunga Sheria...

Mchakato unakuaje? Au first drafts huwa zinaanzia na brainstorming ya kamati husika za bunge?
Kwa tulivyo wababaishaji nobody will understand you
 
Uganda,Rwanda na Msumbiji ni Nchi ambazo zina wanawake wengi kwenye ngazi za juui za maamuzi kuliko Nchi zingine za Afrika.

Je tumewazidi kwa lipi hasa? Je wamefeli?..

Wanaume acheni woga ,saizi Wanawake/ mabinti wanakimbiza kote kote si kwenye elimu wala biashara.
Wanakukimbiza wewe mkuu, sisi wengine tu viongozi kiasili. Na kwa nini ukimbizwe mkuu? Unaonekana u dhaifu mno, na hu fit kuitwa mwanaume. Tumekupoteza mkuu!
 
Hapa unajifariji tuu na mfumo dume ila kwenye actual ground unapigwa haswaa.

Juzi tuu hapo top ten ya form 4,watu 7 ni wanawake na imekuwa hivyo Kwa miaka ya hivi karibuni yangu Sheria Za empowerment zianze.
 
Naam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.

Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?

Tunawapa six month on probation
Wanaume sasa tumegeuziwa kibao,tumekuwa wapika vyapati jikoni
 
Hivi hawa jamaa huwa wanatunga Sheria kweli au huwa wanajadili na ku-endorse Sheria ZILIZOTUNGWA na Serikali?! Kila nikijaribu kupima ni miswada mingapi kutoka serikalini HUKATALIWA bungeni, na mingapi HUKUBALIWA, nabaki kujiuliza hivi ni nani hasa anayeweza kujigamba kwamba ndie mwenye MAMLAKA ya kutunga Sheria...

Mchakato unakuaje? Au first drafts huwa zinaanzia na brainstorming ya kamati husika za bunge?
Kwa maswali yako haya umekwepa swali langu kitaalamu, kuhusu uandaaji wa miswada inayopelekwa bungeni.

Hata hivyo, umegusia suala la bunge kusimamia serikali. Hivi, hili fungu la maneno "kusimamia seriali" lina maana gani kwa lugha ya kawaida, pia lina maana gani kwa tafsiri za kisheria?

Natanguliza shukrani kwa majibu.
 
Hapa unajifariji tuu na mfumo dume ila kwenye actual ground unapigwa haswaa.

Juzi tuu hapo top ten ya form 4,watu 7 ni wanawake na imekuwa hivyo Kwa miaka ya hivi karibuni yangu Sheria Za empowerment zianze.
Hahah sasa hata akiwa msichana the best form four impact iko wapi? Kawaida mnooooo, kwani zamani hawakuwepo wanawake the best? Walikuwepo kuliko hawa was sasa unaowapigia chapuo.

Toa mifano hai, umetoa kwenye elimu, twende kwenye impact halisi ya hiyo elimu sasa.

Tunarudi pale pale, unapigika wewe usijumuishe wote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu alimuumba mwanamme kutawala,akampa na mwanamke awe msaidizi wake ,lkn tz ni vice versa.uwiiiiiiii
Naam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.

Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?

Tunawapa six month on probation
 
Hahah sasa hata akiwa msichana the best form four impact iko wapi? Kawaida mnooooo, kwani zamani hawakuwepo wanawake the best? Walikuwepo kuliko hawa was sasa unaowapigia chapuo.

Toa mifano hai, umetoa kwenye elimu, twende kwenye impact halisi ya hiyo elimu sasa.

Tunarudi pale pale, unapigika wewe usijumuishe wote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Impact iko wapi? Huoni saizi wanaongoza taasisi mbalimbali za kiutendaji hadi kisiasa?

Huoni wanajiamini.sasa kutafuta na kumiliki mali nk?
 
Back
Top Bottom