5th Estate
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 310
- 273
Hii tabia ya kuwadharau Wanawake mnaitoa wapi?,hata kama unamdharau Mkeo muheshimu basi Mama yako mzazi.Basi tukuite wewe ndiye mchambua mchele na mkuna nazi maana kukuna nazi kwenu ni kawaida sana.