Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,010
- 74,655
- Thread starter
- #21
Hee! Kumbe nawe akili kama zake au ndio mwenyewe?Kwani aliongea uongo?.
Unashindwa kujua kuwa Bunge ndio chombo kikuu cha maamuzi?
Ni wajinga tuu wasio jua hilo ndio maana wanaweza kupeleka wawakilishi kama Msukuma au Kibajaji. Hawajui nguvu ya bunge wakidhani ni kupiga makofi tuu