fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,919
Ya wakuna naziHii itakuwa ni nchi ya wajivuni
Ya wakuna naziHii itakuwa ni nchi ya wajivuni
Wacha tushuhudieYa wakuna nazi
Soma tena uelewe, naona huo wivu wa kike unao wewe.Una wivu wa kike
Sawa sawa! Hakuna chochote tulichoona, hebu tuangalie upande wa 2.Mfumo dume umeshindwa kutuletea maendeleo, tujaribu mfumo mwingine.
Hilo kwangu halipo.na bado mkeo anaongoza familia. wewe kazi yako ni kutoa hela
Mimi ndiye kichwa/mtawala wa familia na kiongozi wa kila kitu, akifuatiwa yeye. Anafuata amri yangu katika kuijenga familia imara.na bado mkeo anaongoza familia. wewe kazi yako ni kutoa hela
Feminist bullshit na udini.Naam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation
mifano ya wanawake waliofanya vizuri kwenye uongozi wa juu kabisa nchini mwao tunao, sijui kwa nini hatuwaamini wa mama wetu,Naam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation
Uwezo Gani wa kukata kiuno au? Tumuulize LugolaMsadie kujibu ni BAWACHA gani anauwezo wa Tulia?
Wala tusifiche fiche... tunawasemanga Wachaga eti ni wezi, wakati ukweli wenyewe ndo huo... MITANZANIA YOTE NI MIJIZI!Halafu tunawasema tu kabila fulani wezi. Wakati mitanzania yote ni mijizi..tena usipoiba ndugu wanakushangaa kwanini hujaiba. Ni sawa na una cheo/madaraka makubwa kisha usiwaingize ndugu utaitwa majina yote ya roho mbaya, na hapohapo ukawa neutral utasikia charity begins at home cheki yule anasaidia wengine hawasaidii ndugu zake kwenye ajira.
TANZANIA IMESHAKUWA TAIFA LA KIKE, TUNASUBIRI KWA HAMU KUBWA KUPATA IGP MWANAMKE NA mkuu wa majeshi mwanamke.Point yako ni ipi?, ......kwamba tulikuwa taifa la kiume?
Sasa Huyo Tulia PhD yake ina impact nchini ?Eti product za UWT,Dr.Tulia unaweza kumlinganisha na BAWACHA yupi?
sio kabisa. tumepoteaDuuh tunakoelekea.
Poa tu tena inapendezaWa tz wote tutaonekana wanawake tu