Tunaambiwa tule nyama na maziwa tupate protein; Je, ng’ombe hutoa wapi hizo protein na hali nyama wala kunywa maziwa?

Wajuba tunafuatilia hili swala lako kwa karibu sana..hatutaki ubwabwa utupite shekhe
Uchawi uzima na uhai tu mzee, wanangu hili suala la mpunga lazima tuufinye.

Tuombeane kheri kaka, nipo katika process, wiki ijayo hivi naweza toa tamko.
 
Mkuu,

Mimi ni plant based kwa miaka takribani 7 sasa.

Mimi situmii aina yoyote ya nyama au product yoyote inayotokana na mnyama. Maana yake situmii maziwa, situmii butter, situmii mayai.

Nakula vyakula vinatoka ardhini pekee.

Kwa maana hiyo mimi ni vegan

Kujibu swali lako...

Yes inawezekana kuishi bila kula nyama au products zinazotokana na wanyama kwa 100%.

Mimi nyumbani kwangu nina aina nyingi za vyakula vyenye protein nahifadhi kwenye refrigerator au kwenye pantry (kwa vyakula vikavu)

Nakula hivi kupata protein

1 • Tofu

2 • Green Lentils

3 • Chickpeas

4 • Almonds

5 • Chia seeds

6 • Viazi

7 • Pia wali maharage ni chakula kizuri kupata protein kwahiyo nakula wali marahage mara nyingi tu.
 
Je, ina maana binadamu anaweza kuishi bila kula nyama, mayai, wala maziwa na akapata protein zote anazohitaji toka kwenye vyakula vya mimea (vegetable based)?
Hiv hizi akili gani hizi?ndio maana mnaambiwa hakuna corona msivae barakoa na mnakubali! Nenda kavae barakoa acha ma swali ya kitoto.
 
Inabidi mrudi shuleni tunaona uvivu kuwadadavulia maana hamtaelewa,
Mlikimbilia HKL na HGE leo hii nikikuambia kuhusu Protein synthesis, codons, ribosomes, amino acids utaelewa wewe?

Nikikuambia kuhusu DNA na RNA utaelewa wewe?
Nikikuambia kuhusu keratin na collagen utaelewa?

Nikikuambia kuhusu receptors utaelewa?
Nikikuambia kuhusu antagonism na synergism utaelewa?

Kama huelewi chochote kwenye hayo maswali usijisumbue kuuliza tena rudi shuleni au potezea huu uzi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
We mwenyewe kichwa box tu fukara mkubwa. Maskini wewe huna hata gari ya milioni 25.
 
Mkuu,

Mimi ni plant based kwa miaka takribani 7 sasa.

Mimi situmii aina yoyote ya nyama au product yoyote inayotokana na mnyama. Maana yake situmii maziwa, situmii butter, situmii mayai.

Nakula vyakula vinatoka ardhini pekee.

Kwa maana hiyo mimi ni vegan

Kujibu swali lako...

Yes inawezekana kuishi bila kula nyama au products zinazotokana na wanyama kwa 100%.

Mimi nyumbani kwangu nina aina nyingi za vyakula vyenye protein nahifadhi kwenye refrigerator au kwenye pantry (kwa vyakula vikavu)

Nakula hivi kupata protein

1 • Tofu

2 • Green Lentils

3 • Chickpeas

4 • Almonds

5 • Chia seeds

6 • Viazi

7 • Pia wali maharage ni chakula kizuri kupata protein kwahiyo nakula wali marahage mara nyingi tu.
Wali maharage una protini? Au maharage ndiyo yana protini?
 
Nasikia hii dhana ya kupata protein toka kwenye nyama na maziwa ilipewa msukumo mkubwa sana na makapuni ya uchakataji nyama ya ng’ombe na kuku huko Marekani ili kuongeza mauzo, walifanikiwa sana..
Ulisoma science mkuu? End product ya protein unayoipata kutoka kwenye nyama ni amino acid,hili liko wazi kabisa kama ambavyo end product ya wanga (carbohydrates) ni glucose, this is very obvious fact, tumesoma shuleni... Nikuulize unajua end product ya maziwa? Hebu jibu hayo kwanza ili tuingie kwenye dhana ya herbivores kula nyasi na kuweza kujenga miili yao ambayo mostly ni proteins....
 
Nani alikwambia nyama na maziwa ndiy vinaprotein hv unaelewa maana ya crude protein/CP% za kwenye mimea jamii ya mikunde na mimea jamii ya leucaena spp.
 
Umejibu vyema ndio hizo natural resource hzo cellose ng'ombe anazaliwa nazo nan alimwekea io sio kaz yetu si tunachojua anazo
Liginin,cell wall na Cellulose hazipo kwenye ng'ombe zipo kwenye plants cells only
But ng'ombe Wana high digestibility ya kuoxidize hizo plants cell membrane kwasasabu Wana four chember of stomach ambazo ni omasum, abomasum, reticulum pamoja na rumen hizo zote zinaplay part kuvunja vyasi ngumu na nyasi laini.

Sisi binaadamu shughuli hiyo hatuiwezi.
 
Aisee bomba la elimu matumbo manne jambo lengine wale wanakula nyas mbich zikiwa na wadudu sisi tunapika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom