Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,379
Nature. Over.
Kwamba sisi ni lazima tule vyakula vyenye mafuta sio?Wameumbwa hivyo
shekhe wangu kwema?? vp ushapata jiko?Maziwa ya mama yana virutubisho vyoote, kwanini chakula kikuu kisiwe maziwa ya mama tu maisha yetu yoote.
Sasa wewe Napoleone & Napoleon Jr ungemjibu kistaarabu kama hapo mwishoni ungepungukiwa nini!??? Au unahofia kuluz Dola ya Ufaransa!??? Nilijuaga ulishabadilika ile kitambo tu baada ya kunyang'nywa ufalme!???Mnasemaga ooh.sasa nimesoma logarithm itanisaidia nin maishan...etc
Wengne ooh chemistry itanisaidia nin maishan..sasa ungesoma chemistry ya form 1 tu ungeweza jijibu mwenye mfano mdogo tu ambao ni simpo kabisa
Chuma + maji=rust
2H +O=H20 balance charges mwenyew
Kwahyo chochote kinawezekana
Ndomana nasemaga..alieumba hii dunia si mchezo..ni zaid ya mwanasayansi.ni zaid ya genius..ni zaid ya chochote...na hakosei ..yuko very precise na accurate katika project zake..yaan huyo Mungu mambo anayoyajua siwez hata imagine...ni level nyingne
Tuendelee kujivukiza wakuuKujifunza ninakokumaanisha ni kwanini sisi tunaambiwa tukila chakula kisicho na mafuta tunapatwa na kweshakoo ilihali wanyama walao majani peke yake hawapatwi na hiyo kweshakoo?
Hata sayansi Kuna mahala huwa inafika kikomo, nyuki jinsi anavyotengeneza asali inasemekana ni fumbo sayansi haijatatua hadi leoWape faida wasomaji juu ya ‘metabolism’ na jinsi inavyojibu hoja, ahsante
Acha ujinga mkuuModerator futen na huu uzi pia ni utopolo mtupu maswal ya namna hii ukiwaza unaweza kujiona genius kumbe hamna kitu
Kuna vitu ni natural resource kuhoj vimetokea wap na nan kaviweka ni Kupoteza nda wa wadau
Toa jibu sasa..Labda kichwa chako
Yah , angalia documentary moja inaitwa Food inc .Nasikia hii dhana ya kupata protein toka kwenye nyama na maziwa ilipewa msukumo mkubwa sana na makapuni ya uchakataji nyama ya ng’ombe na kuku huko Marekani ili kuongeza mauzo, walifanikiwa sana..
Ng'ombe gani ambae hanywi maziwa? Makuzi yake yote ananyonyaJe, ina maana binadamu anaweza kuishi bila kula nyama, mayai, wala maziwa na akapata protein zote anazohitaji toka kwenye vyakula vya mimea (vegetable based)?
Umejibu vyema ndio hizo natural resource hzo cellose ng'ombe anazaliwa nazo nan alimwekea io sio kaz yetu si tunachojua anazoAnabolism ya wanyama na binadamu haifanani per se..Mfano ng'ombe anaweza kupata essential amino acids kutoka kwenye majani lakini binadamu hatoweza kula majani hayohayo na kutengeneza hizo assential amino acids..inampasa atumie intermediate (ndo huko kula nyama na maziwa,mayai n.k)..Hii inaletwa na kuwa na enzyme wanaoweza kufacilitate hili..
mfano,enzyme wa kuvunja cellulose yupo kwa ng'ombe lakini kwa binadamu hayupo
Doh !!Moderator futen na huu uzi pia ni utopolo mtupu maswal ya namna hii ukiwaza unaweza kujiona genius kumbe hamna kitu
Kuna vitu ni natural resource kuhoj vimetokea wap na nan kaviweka ni Kupoteza nda wa wadau
Inabidi mrudi shuleni tunaona uvivu kuwadadavulia maana hamtaelewa,Nje ya mada
Wanasemaga kama mtu kanywa sumu eti akipewa maziwa anapona.
Hili lina ukweli wowote?
Alhamdulillah, niko katika process za kumchukua jumla, soon nitaleta mrejesho, namshukuru Allah nipo ktk hatua nzuri.shekhe wangu kwema?? vp ushapata jiko?
InshaAllah...mola akufanyie wepesi na awajaalie kheri...amiin!!Alhamdulillah, niko katika process za kumchukua jumla, soon nitaleta mrejesho, namshukuru Allah nipo ktk hatua nzuri.
Hapa fikirishi... Mtoto anakua kwa kutegemea maziwa ya mama.... akiwa mkubwa anatumia maziwa na ngombe kwamba ndama anapokwa chakula chake ..kwanini mtu mzima kunywa maziwa ya ng'ombe ni sawa?Maziwa ya mama yana virutubisho vyoote, kwanini chakula kikuu kisiwe maziwa ya mama tu maisha yetu yoote.