Tumwondoe Jamal Malinzi TFF hapa

Malinzi kafanya na anaendelea kufanya mambo mazuri sana ambapo matokeo yake mtakuja kuyashangilia hapo baadae hasa nyie mazuzu mnaoleta ukabila na unaa hapa.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
MKUU USILETE SIASA ZA SIMBA NA YANGA. tunazungumzia utendaji wake kwa ujumla na wala si mechi za team hizo
Kama unazungumzia utendaji wake, mambo ya UHAYA yametoka wapi?

Nyinyi mmevurugwa na kamati ya masaa 72 iliyotaka kutengua katerero. Mpira ni uwanjani, mezani tunakunywa kahawa. Manara anawadanganya na mkakubali, hadi mkadanganywa FIFA sijui wametuma soseji sijui kitu gani. Sasa hivi mmebadilishiwa upepo, mnajadili Niyonzima, tahamaki ligi imeanza mnapigwa tena mabao mnaandamana
 
hebu nioneshe nilipozungumzia suala la uhaya? maana isije ikawa ndo wewe malinzi unatumia na id hii. kwanza wewe hujui mimi kabila gani na mshabiki wa team gani. tumia akili yako sawa sawa siyo unakurupuka.
 
Umetumwa na wagombea wenzake, haondoki mtu hapa. JF haipigi kura and moreover humu zimejaa takataka kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…