Tumuombee Smile, Mungu ampe nguvu awe imara.

Mwenyezi Mungu asikilize sala zetu na arudishe furaha katika familia yenu..
 
Pole sana mamito,
Mungu wetu ni mwema na hjibu maombi,
Na kwa jina lake atamponya mama yetu haraka.
 
Pole Smile kwa kumuuguza mama tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu aweze kumponya haraka
 
......anauguliwa na mama yake mzazi ambaye alikuwa katika critical condition, lakini kwa sasa she is promising.
Imemlazimu Smile kuchukua likizo kwa muda mfupi ili awe karibu naye katika kipindi hiki.

Mungu azidi kukupa nguvu na uthabiiti kila wakati uwapo na mgonjwa ili awe mwingi wa matumaini, pia azidi kumnyooshea Mama yetu mkono wake wa uponyaji ili hali yake izidi kuimarika kama ilivyo sasa.

Get well soon, mama wa Smile.
 
Usiogope mpendwa, Mungu yupo na wewe. Atakutia nguvu, atakusaidia......atakushika kwa mkono wake wa kuume!! Amen.
 
Pole sana smile...mungu ni mwema mama atapona soon. Tunazidi kumuombea
 
Pole sana my darln Smile,
Mungu akutie nguvu, tunamwombea mama apone haraka.
 
Pole sana my darln Smile,
Mungu akutie nguvu, tunamwombea mama apone haraka.

Smile mungu akujalie wewe na mama apate nafuu ili uje utujuze hawa wanaojidai kutoa pole kwa mama mkwe ni kweli?
 
Pole kwa kuuguza Smile,Mungu mwema akupe nguvu ya kuuguza na amponye mama harak a.
 
Pole sana mpendwa smile kwa kuuguliwa na mama yako. Nitakukumbuka na kukuombea katika sala zangu ili Mungu mwenye huruma aweze kumponya mama yako mpendwa
 
Back
Top Bottom