Tumuombee Dua Mtambuzi Apone Haraka!!!

Tumuombee Dua Mtambuzi Apone Haraka!!!

mwenyezi mungu ndiye huweza wa kila juu yetu, nandie anapanga mtihani gani ampatie mea wake ampendae na kwa wakati, kaka umechaguliwa wewe na kwa uwezo wake utashinda mtihani huu inshaallah.... ugua pole!!
 
Pole sana Mzee Mtambuzi.... Mwenyezi Mungu akunyooshee mkono wake wa Uponyaji upone haraka.....

2948.gif
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mzee mwenzangu Mtambuzi. Mungu akupe uponyaji wa haraka. Hivi amu hajui kama mtambuzi anaumwa? Nimeongea naye punde na hajaniambia. Mkimwona mwambieni nimekasirika sana eti.

Mbon safo Paloooo Paloma.
 
Last edited by a moderator:
Tunashukuru kwa taarifa Paloma, tunamwombea apate afueni mapema aweze kurudi kwenye shughuli zake za kila siku.
 
Last edited by a moderator:
Mbon shafoo asprooo! Hv hujui amu yupo busy anatafuta ugoro akavute na Madame B

Back
Top Bottom