Mabibi na Mabwana napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwenu kwa sala zetu ambazo zimejibiwa na leo hii Mimi Mtambuzi Simba Mzee mchezewa Sharubu nmepona kabisa na nimerejea rasmi mtandaoni kusongesha kama kawaida.
Kwa kweli nilikamatika maana nilimuona ZIRAILI kwa macho yangu haya mawili nikajua kwishnehi, hapa siwezi kuchomoka lakini kumbe ile ahadi ilikuwa bado kutimia.
nawashukuru sana.
Copy to: Paloma, Ruttashobolwa, @FP, snowhite, Mzee wa Rula, cacico, Asnam, Kipipi, Mamndenyi, MMAHE, KakaJambazi, KakaKiiza, Kipaji Halisi, sosoliso, Erickb52, LiverpoolFC, Zion Daughter, Bishanga, Excellent, King'asti, watu8, Mentor, Jeska, Elizabeth Dominic, charminglady, ladyfurahia, Mrembo by Nature, Swts, mwaJ, amu, KOKUTONA, Mwali, Madame B, Kaizer, YNNAH