Kuanzia jana nilikuwa mitaa flani ila mbona nilimwambia friend wako nakuja
Madame B umesikia tamko la Nape kampeni haziruhusiwi? Mwambie kalapina aache kampeni la sivyo atakatwa jina,okay?
Mabibi na Mabwana napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwenu kwa sala zetu ambazo zimejibiwa na leo hii Mimi Mtambuzi Simba Mzee mchezewa Sharubu nmepona kabisa na nimerejea rasmi mtandaoni kusongesha kama kawaida.
Kwa kweli nilikamatika maana nilimuona ZIRAILI kwa macho yangu haya mawili nikajua kwishnehi, hapa siwezi kuchomoka lakini kumbe ile ahadi ilikuwa bado kutimia.
nawashukuru sana.
Copy to: Paloma, Ruttashobolwa, @FP, snowhite, Mzee wa Rula, cacico, Asnam, Kipipi, Mamndenyi, MMAHE, KakaJambazi, KakaKiiza, Kipaji Halisi, sosoliso, Erickb52, LiverpoolFC, Zion Daughter, Bishanga, Excellent, King'asti, watu8, Mentor, Jeska, Elizabeth Dominic, charminglady, ladyfurahia, Mrembo by Nature, Swts, mwaJ, amu, KOKUTONA, Mwali, Madame B, Kaizer, YNNAH
Labda ungeonyeshwa tu kaburi langu...kumbe ulikuwa unaumwa.....?
Karibu, we were worried bana. asavali umepona!Mabibi na Mabwana napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwenu kwa sala zetu ambazo zimejibiwa na leo hii Mimi Mtambuzi Simba Mzee mchezewa Sharubu nmepona kabisa na nimerejea rasmi mtandaoni kusongesha kama kawaida.
Kwa kweli nilikamatika maana nilimuona ZIRAILI kwa macho yangu haya mawili nikajua kwishnehi, hapa siwezi kuchomoka lakini kumbe ile ahadi ilikuwa bado kutimia.
nawashukuru sana.
Copy to: Paloma, Ruttashobolwa, @FP, snowhite, Mzee wa Rula, cacico, Asnam, Kipipi, Mamndenyi, MMAHE, KakaJambazi, KakaKiiza, Kipaji Halisi, sosoliso, Erickb52, LiverpoolFC, Zion Daughter, Bishanga, Excellent, King'asti, watu8, Mentor, Jeska, Elizabeth Dominic, charminglady, ladyfurahia, Mrembo by Nature, Swts, mwaJ, amu, KOKUTONA, Mwali, Madame B, Kaizer, YNNAH
pole sana.....Labda ungeonyeshwa tu kaburi langu...
Nimepona binti na niko fiti kama jibwa la Polisi