Tumuombee Dua Mtambuzi Apone Haraka!!!

Paloma

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2008
Posts
5,331
Reaction score
4,956
Wapendwa wana JF Social Lounge (source hapo juu)
MwanaJF mwenzetu Mtambuzi anaumwa jamani, na hali yake si nzuri kiasi cha kumlaza nyumbani akiwa hoi.
Nawaomba kwa dhati kabisa kila mmoja wetu amuombee kwa imani yake apate kupona, arejee tena katika shughuli zake za kujenga taifa, na shughuli za kutuelimisha humu JF haswa MMU (ikiwa ni pamoja na kutusoma sura zetu)

Babu Mtambuzi mwenyezi Mungu akusaidie upate nafuu haraka!
Amina
 
Last edited by a moderator:
Mungu wetu yu hai atamponya ndugu yetu Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Mwenyenzi MUNGU Baba wetu wa Rehema nyingi mpe afya njema Ndg yetu Mtambuzi mrejeshee afya Mungu kwani kwako hakuna lisilowezeka Baba!

Mrejeshee afya njema Mungu wetu!
 
Last edited by a moderator:
Mungu amrehemu. (hicho ni kiswahili fasaha kabisa). Yani Mungu ampe rehema ya uponyaji.
KakaJambazi banaa hahaha sawa ni kiswahili fasaha lakini, tunaangalia na matumizi yake! hahahaa hata hivyo
umeeleweka
 
Last edited by a moderator:
Paloma pole sana na Mtambuzi
labda unajua zaidi nini kinamsumbua as najua wewe uko karibu naye kiasi fulani,
kwanini usimpeleke hosp ukaamua tena kumlaza home?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…